Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna BBC FM PopoteWe uliisikia wapi hii BBC FM mkuu??
Usichukue ignorance yako kuwa kanuni. Nairobi kina BBC ktk frequency za FM full time. Ndio maana nikauliza hapa bongoHakuna BBC FM Popote
Aitafute BBC Swahili Radio Na BBC Swahili Television
Kupitia Vituo Shiriki Matangazo Ni Hayo Hayo
Mfano anatumia subwoofer kuna hizi frequencies MW,SW¹,SW²-SW⁷..!? Kwanza radio zenye hizi varieties ni chache mno au labda kama ana gari sawa baadhi ya radio za gari zinaweza switch hizo modules... Hapo awasikilize kupitia mtandao/Internet au awe anangoja wanajiunga radio washirika au aende Kenya BBC na RFI wana frequencies masaa 24 kwenye FM..Mkuu kwa hapa Tanzania BBC FM haipo.Ila haimaanishi kuwa hauwezi kupata BBC radio station.
Jinsi ya kupata ni kama una radio ambayo ina range pana ya frequencies.
Radio ikiwa na range kubwa ya frequencies unaweza kupata radio station yoyote ile hapa duniani.
Ila hautopata hiyo radio station kwa frequency ya FM bali other frequencies. Jaribu kuweka MW,SW¹,SW²-SW⁷ frequencies.