GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama utabahatika kupitapita huko uliko (Eneo lako Kimakazi) na ukaona kuna Guest au Lodge ziko wazi tafadhali nijulishe haraka GENTAMYCINE kwa Kunitajia Jina na iliko ili nimpeleke Mgeni wangu katoka Safarini nchini Somalia akapumzike.
Za huku niliko tokea Ijumaa Kuu hadi Kesho Easter Monday zimeshajaa.
Za huku niliko tokea Ijumaa Kuu hadi Kesho Easter Monday zimeshajaa.