Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Mkuu naamini ushapata majibuAlvajumaa, Square meter wengi hatujui,tuambieni ni futi ngapi ndipo tutawaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naamini ushapata majibuAlvajumaa, Square meter wengi hatujui,tuambieni ni futi ngapi ndipo tutawaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi si Fundi, ni Civil EngineerHabari mkuu.
Wewe ni fundi wa hii kitu?
I will pick twyfordMkuu kati ya BSM tiles na Twyford ipi bora
Ushapata majibu mkuu au bado? Kama bado niambie tuambizane hapaMkuu naomba unisaidie, mfano mimi nimejenga frem za biashara sasa fundi kapima ukubwa kwandani ni square meter 20 kila frame eti hapo zitaingia box ngapi zile tiles za size ya kati na inaweza kua bei gani kila box au kwenye frem nashauriwa kuweka size gani, naomba msaada please
Pima urefu na upana mkuu , utapata eneoSasa hiyo square meter unaipataje?, Wengine hatukwenda shule?, Yaani utajuaje chumba ni square meter kadhaa? [emoji23][emoji26][emoji134]
Nisamehe my dear nilipotea kidogo, sijapata kwakweliUshapata majibu mkuu au bado? Kama bado niambie tuambizane hapa
Hua wanapimaPima urefu na upana mkuu , utapata eneo
Yes wanajuaMafundi wanajua
Hua wanapima
Mwongozo sio Majibu😁Mkuu naamini ushapata majibu
Naamini ushapata muongozo [emoji28][emoji28]Mwongozo sio Majibu[emoji16]
Ni ushauri tu...tiles za sebuleni, koridoni ni vema kuweka vya ukubwa wa 50x50Kwa vyumba vyenye vipimo hivi, boksi ngapi za tiles za 40 kwa 40 aina ya twyford zitatosha?View attachment 2330227
Asante sana kwa ushauri mkuuNi ushauri tu...tiles za sebuleni, koridoni ni vema kuweka vya ukubwa wa 50x50
Mungu akubarik sanaMkuu !
Gharama hua inategemea unataka aina gani ya tiles, Mara nyingi kama ni chumba basi huwezi kutumia ceramic tiles,
Hivyo unapaswa kutumia granite na nyinginezo, tiles hutofautiana size kuna 30 ×30, 40x40, 50x50,60×60,33×33 40×50, n.k
Mara nyingi vyumbani hushauriwa size ya tiles iwe na uwiano sawa yaan size yake either iwe 40 x40 au 60 x60 , pia hutegemea wewe muhusika unatakaje.
Mfano ukichukua 60x60 hizi hua zinakaa 4 kwa box moja ambalo huweza kujenga eneo la 1.44sqm, hivyo chukua hiyo 9sqm gawanya na 1.44 utapata idadi ya tiles lakini utaongeza box moja kwa ajili ya tahadhali/ri kama kuvunjika n.k
Bei hutofautiana na wapi inatoka kuna Spanish tiles, UEA tiles na zile hapa kwetu Tz ambazo nyingi zinatoka Andika !, bei kuanzia elfu 22- 38 kwa box moja.
Hapo ongeza na grout kama unataka nyumba iwe nzuri, weka na spacing tiles , bei ya fundi ni maelewano ila mara nyingi Sqm 1 huanzia 3500-5000.
Nadhani umenielewa na hati yangu ya kuungaunga
Sent using Jamii Forums mobile app
WellMkuu !

zidisha mara kumiAlvajumaa, Square meter wengi hatujui,tuambieni ni futi ngapi ndipo tutawaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau, Mimi siyo mtaalamu sana wa square meter, labda chumba cha futi kumi yaani mita tatu marumaru za 50/50 zaweza kuwa boksi ngapi?