Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Hapana mkuu, ila naweza kukusaidia fundiHabari mkuu.
Wewe ni fundi wa hii kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, ila naweza kukusaidia fundiHabari mkuu.
Wewe ni fundi wa hii kitu?
Twyford iko vizuri pia ina machaguo mengi MkuuMkuu kati ya BSM tiles na Twyford ipi bora
Unapima urefu na upana mkuu then unazidishaSasa hiyo square meter unaipataje?, Wengine hatukwenda shule?, Yaani utajuaje chumba ni square meter kadhaa? [emoji23][emoji26][emoji134]
Jibu zuri la kiufundi ubarikiwe sanaMkuu !
Gharama hua inategemea unataka aina gani ya tiles, Mara nyingi kama ni chumba basi huwezi kutumia ceramic tiles,
Hivyo unapaswa kutumia granite na nyinginezo, tiles hutofautiana size kuna 30 ×30, 40x40, 50x50,60×60,33×33 40×50, n.k
Mara nyingi vyumbani hushauriwa size ya tiles iwe na uwiano sawa yaan size yake either iwe 40 x40 au 60 x60 , pia hutegemea wewe muhusika unatakaje.
Mfano ukichukua 60x60 hizi hua zinakaa 4 kwa box moja ambalo huweza kujenga eneo la 1.44sqm, hivyo chukua hiyo 9sqm gawanya na 1.44 utapata idadi ya tiles lakini utaongeza box moja kwa ajili ya tahadhali/ri kama kuvunjika n.k
Bei hutofautiana na wapi inatoka kuna Spanish tiles, UEA tiles na zile hapa kwetu Tz ambazo nyingi zinatoka Andika !, bei kuanzia elfu 22- 38 kwa box moja.
Hapo ongeza na grout kama unataka nyumba iwe nzuri, weka na spacing tiles , bei ya fundi ni maelewano ila mara nyingi Sqm 1 huanzia 3500-5000.
Nadhani umenielewa na hati yangu ya kuungaunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment imefanya nikudharauSasa hiyo square meter unaipataje?, Wengine hatukwenda shule?, Yaani utajuaje chumba ni square meter kadhaa? [emoji23][emoji26][emoji134]
Usimdharu kwani ameshasema hakwenda shule.Hii comment imefanya nikudharau
Hakwenda shule wapi,shule kaenda sema alisomea ujinga,😀😀,darasa la nne linatosha kujua hiyo kituUsimdharu kwani ameshasema hakwenda shule.
Uko vizuri mkuu umenipa somo sanaMkuu !
Gharama hua inategemea unataka aina gani ya tiles, Mara nyingi kama ni chumba basi huwezi kutumia ceramic tiles,
Hivyo unapaswa kutumia granite na nyinginezo, tiles hutofautiana size kuna 30 ×30, 40x40, 50x50,60×60,33×33 40×50, n.k
Mara nyingi vyumbani hushauriwa size ya tiles iwe na uwiano sawa yaan size yake either iwe 40 x40 au 60 x60 , pia hutegemea wewe muhusika unatakaje.
Mfano ukichukua 60x60 hizi hua zinakaa 4 kwa box moja ambalo huweza kujenga eneo la 1.44sqm, hivyo chukua hiyo 9sqm gawanya na 1.44 utapata idadi ya tiles lakini utaongeza box moja kwa ajili ya tahadhali/ri kama kuvunjika n.k
Bei hutofautiana na wapi inatoka kuna Spanish tiles, UEA tiles na zile hapa kwetu Tz ambazo nyingi zinatoka Andika !, bei kuanzia elfu 22- 38 kwa box moja.
Hapo ongeza na grout kama unataka nyumba iwe nzuri, weka na spacing tiles , bei ya fundi ni maelewano ila mara nyingi Sqm 1 huanzia 3500-5000.
Nadhani umenielewa na hati yangu ya kuungaunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo, wengine utapata mtaani kama upo Dar naweza kukupatia fundiNa bei za mafundi mnasema ni estimate TZS 5,000/- Kwa Square meter, wapo humu hao mafundi?
Na bei za mafundi mnasema ni estimate TZS 5,000/- Kwa Square meter, wapo humu hao mafundi?
Unapima pimaje sasa?Pima urefu na upana mkuu , utapata eneo
Umeupiga mwingi. Kongore kwako.Mfano,
1) Umepima Chumba ukapata urefu ni futi 10 na upana ni futi 10. Badili hivi vipimo viwe katika meter inakua urefu mita 3 na upana mita 3.
Eneo la chumba = Urefu x Upana,
= mita 3 x mita 3,
= mita za eneo 9.
2) Labda tile moja ina urefu wa sentimeta 40 na upana huo huo. Badili napo hivi vipimo kua katika mita. Hapo itakuani 0.4mita urefu na upana.
Eneo la tile moja = 0.4mita x 0.4mita
=mita za eneo 0.16
Kwa hiyo chumba chenye mita za eneo 9 pale juu (1) kitatumia tiles zenye mita za eneo 0.16 kila moja pale juu (2) zipatazo 9÷0.16 =56.25.
Na kama tiles hizo utazikuta zimefungwa kwenye maboksi ya tiles sita sita kila boksi labda basi yatahitajika maboksi 56.25÷6 = 9.375 kuweza kujaza hicho chumba. Sasa sababu boksi zinauzwa nzima nzima basi kadirio linakua la kuongeza hivyo boksi 10 zitahitajika hapo.
Nafatilia comment za watu napata kuwapima vichwani mwao.Hii comment imefanya nikudharau
hyo ni foot 10Alvajumaa, Square meter wengi hatujui,tuambieni ni futi ngapi ndipo tutawaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app