Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

Ushapata majibu mkuu au bado? Kama bado niambie tuambizane hapa
 
Kwa vyumba vyenye vipimo hivi, boksi ngapi za tiles za 40 kwa 40 aina ya twyford zitatosha?
 
Mungu akubarik sana
 
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…