Naomba kujua historia ya Christina Shusho

Naomba kujua historia ya Christina Shusho

Baada ya habarihabari mbaya za kumhusu Christina Shusho,ambazo wadau wameziletaleta humu kwenye hii thread,nikaamua nizame Google,nikasearch,nimrkutana na mambo mengi.
Akina Warumi (R.I.P) na wadau wengine,wamedai mzee mamvi alitoka nae,wengine Zakayo wa TRA,akaja akaongelewa hadi Bahati Bukuku,kua naye katembea na mzee mamvi,mambo ni mengi mengiii.
Lakini hatakama ni kweli,huyu dada,namaanisha Christina Shusho,ni mzuri sana,lazima vishawishi viwe vingi,hivyo kuanguka kupo.Kama mimi tu sina umaarufu wowote,lakini anamitesa hivi nikimuona,je wanasiasa na watu wengine maarufu,unadhani hawamuoni kama mimi nimuonavyo ila sina jinsi tu?
Huyu dada ni mzuri,kama inatokea anachepuka,ni ubinadamu tu,labda wadada wengi wangekua wazuri kama alivyo,ingekua balaa kumzidi.
 
Naomba anayemfahamu Christina shusho anifahamishe historia yake ni mtanzania au mkongo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Majadala mzuri. Ila msaidieni huyu mtoa maada Kwa kumpatia mawasiliano yake ili aongee nae na amuulize maswali kadhaa yanayoweza kumjuza zaidi. Pia Christina Shusho kama utapata ujumbe huu TAFADHARI tupe salamu maana hawa wanaojadili wanania njema tu ya kukufahamu zaidi na connection yako kuongezeka zaidi. Au kama Kuna jilani yake humu amwambie.
 
Baada ya habarihabari mbaya za kumhusu Christina Shusho,ambazo wadau wameziletaleta humu kwenye hii thread,nikaamua nizame Google,nikasearch,nimrkutana na mambo mengi.
Akina Warumi (R.I.P) na wadau wengine,wamedai mzee mamvi alitoka nae,wengine Zakayo wa TRA,akaja akaongelewa hadi Bahati Bukuku,kua naye katembea na mzee mamvi,mambo ni mengi mengiii.
Lakini hatakama ni kweli,huyu dada,namaanisha Christina Shusho,ni mzuri sana,lazima vishawishi viwe vingi,hivyo kuanguka kupo.Kama mimi tu sina umaarufu wowote,lakini anamitesa hivi nikimuona,je wanasiasa na watu wengine maarufu,unadhani hawamuoni kama mimi nimuonavyo ila sina jinsi tu?
Huyu dada ni mzuri,kama inatokea anachepuka,ni ubinadamu tu,labda wadada wengi wangekua wazuri kama alivyo,ingekua balaa kumzidi.
Ulivyoanza nikajua unatoa majibu
 
Nijuavyo mimi ni kuwa Christina Shusho ni mzaliwa wa mkoa wa Kigoma. Ni muimbaji wa injili wa muda mrefu hapa nchini.

Kwa sasa ni mchungaji na anachunga kanisa moja la kipentekoste(jina limenitoka) kanisa hilo lonapatikana mabibo

Kwa kuongezea ni kuwa jana ametambulishwa rasmi kama mtangazaji wa kipindi cha dini kiitwacho Sunday worship kinachorushwa kila siku ya Jumalili kupitia Wasafi Tv na Wasafi FM

Nawasilisha
 
Vidole vinataka kuandika lakini medulla haitoi ushirikiano mkuu.Niishie hapa mkuu uwe na usiku mnono
Acha nikusaidie tutagawana dhambi.
Christina ni
.. mzuri kweli kwa umri.
..ni mwimbaji mzuri kweli.
..ni mzoefu wa kuogelea kwenye pesa za mmewe na gospel.
..pia lowasa aliwai kuwa chanzo chake cha mapato maana mwenye sukari hutoa something for nothing.
..ni mrundi mtanzania.
.. sio mwaminifu katika ndoa kwa kumsaliti saliti na kumpelekesha mmewe, mchungaji aliyeko/aliyekuwa USA.
......"nyumba yangu si ya vioo msihangaike kurusha rusha mawe...!
 
Back
Top Bottom