Baada ya habarihabari mbaya za kumhusu Christina Shusho,ambazo wadau wameziletaleta humu kwenye hii thread,nikaamua nizame Google,nikasearch,nimrkutana na mambo mengi.
Akina Warumi (R.I.P) na wadau wengine,wamedai mzee mamvi alitoka nae,wengine Zakayo wa TRA,akaja akaongelewa hadi Bahati Bukuku,kua naye katembea na mzee mamvi,mambo ni mengi mengiii.
Lakini hatakama ni kweli,huyu dada,namaanisha Christina Shusho,ni mzuri sana,lazima vishawishi viwe vingi,hivyo kuanguka kupo.Kama mimi tu sina umaarufu wowote,lakini anamitesa hivi nikimuona,je wanasiasa na watu wengine maarufu,unadhani hawamuoni kama mimi nimuonavyo ila sina jinsi tu?
Huyu dada ni mzuri,kama inatokea anachepuka,ni ubinadamu tu,labda wadada wengi wangekua wazuri kama alivyo,ingekua balaa kumzidi.