Naomba kujua historia ya Christina Shusho

Naomba kujua historia ya Christina Shusho

Mnajua kuongea mataptap sijui stiri za kijiweni?
Watutsi ni dada zangu lkn utulivu zero.
Siku hizi tunawakwepa kuwaoa, hawajui kukataa.
Wahutu wana ahueni huenda sababu wengi sio warembo.pia wahutu wanawake wachapa kazi sana tofauti na binti wa kitutsi
Upo sahihi mkuu
 
Aliwahi kuolewa akafiwa na mumewe nyinyi tatizo mmeanza kumjua juzi juzi ndio tatizo la watoto wa kipindi hiki,

Emu punguzeni basi
Shusho hajawahi kufiwa, unachanganya na Nkone Upendo
 
Mfuatilie vizuri mkuu, unajua ana watoto au wewe pia ndio wale wale mnasema hajazaa yupo single ?
Soma hiyo
IMG-20230411-WA0000.jpg
 
Ya kweli,kwasababu za kihistoria,watusi wapo maeneo hayo,ni wazuri sana halafu hawana sifa ya umalaya,tofauti na wadada wanaosifika kwa uzuri wa Manyara au Singida.
Usije ukarogwa, maana utakua umerogwa tena. Yutsi na Wamburu dugu moya damu moya same behavior
 
Dah!!

JF ya sasa..

SMH .πŸ˜”πŸ˜”
 
Back
Top Bottom