Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe

Al-habiib

Senior Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
110
Reaction score
151
Habari wakuu,

Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake?

Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic.

Shukrani.
 
Habari wanajamvi,
Naomba kujuzwa vigezo vya kufungua dental clinic kwa mtu mwenye ngazi ya diploma .
 
Habari wanajamvi,
Naomba kujuzwa vigezo vya kufungua dental clinic kwa mtu mwenye ngazi ya diploma .
Ngazi ya diploma inahusiana na nini, kwenye kufungua dental gerage???

. Njoo inbox nikupe namba ya wahusika wa hayo mambo.
 
Ngazi ya diploma inahusiana na nini, kwenye kufungua dental gerage???

. Njoo inbox nikupe namba ya wahusika wa hayo mambo.
Diploma ya Dental therapy ,naweza kufungua clinic kitaa nkapga pesa au mpaka DDS
 
Mtaji ni Miswaki na dawa ya meno..

Pia uwe na chumvi na majivu pembeni..
 
Pokea ushauri huo unaweza kufungua kitu inaitwa Dental Hygene
Uwe na miswaki ya mashine ile na madawa ya kungarisha meno.
Unapiga hela ndefu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…