Naomba Kujua Hiyo Suti Aliyovaa Mdau Ni ya Dukani Au Ni Ya kushona?

all in all jua kwamba suti za kushona ndio nzuri zaidi cause inakutoshea vizuri kabisa kulingana na vipimo vyako , af tena ukaishona kwa watu wanaojua kama kina mtani bespoke au papaa pale mikocheni ooh wee hautatamani kuivua , ila andaa laki nane yako tu mzee
 
Hii suti inachezea kwenye laki 2 kasoro hadi mbili unusu. Upande wa rangi nadhani kajitahidi labda sema asingevaa hivyo viatu nae. Hapo angepiga Travota za dark tan. Hii ya dukani mkuu huoni brand hiyo ila inawezekana alinunua kubwa akaenda kuipunguza kwa fundi maiko wa nguo.
 
Wadau.
Napenda Sana vazi la suti.
Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau.
Naomba jua.
1 Gharama za suti hiyo?
2. Je Ni ya kushona au ya Dukani?
3. Je rangi yake inaendana na huyo Mdau?
Aksanteni Sana
Siku zote suti za njano ni orijino na hauhitaji kuuliza.
 
Wadau.
Napenda Sana vazi la suti.
Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau.
Naomba jua.
1 Gharama za suti hiyo?
2. Je Ni ya kushona au ya Dukani?
3. Je rangi yake inaendana na huyo Mdau?

Aksanteni Sana

Kwani ya dukani haishonwi? Inajengwa kama matofali au inagandishwa na gundi?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…