Naomba Kujua Hiyo Suti Aliyovaa Mdau Ni ya Dukani Au Ni Ya kushona?

Naomba Kujua Hiyo Suti Aliyovaa Mdau Ni ya Dukani Au Ni Ya kushona?

all in all jua kwamba suti za kushona ndio nzuri zaidi cause inakutoshea vizuri kabisa kulingana na vipimo vyako , af tena ukaishona kwa watu wanaojua kama kina mtani bespoke au papaa pale mikocheni ooh wee hautatamani kuivua , ila andaa laki nane yako tu mzee

Mleta uzi hana maana suti, he just wants you see that lady with heavy boobs
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshusha baaango huyu bwege alimaanisha huyo mwenye chura hapo.
all in all jua kwamba suti za kushona ndio nzuri zaidi cause inakutoshea vizuri kabisa kulingana na vipimo vyako , af tena ukaishona kwa watu wanaojua kama kina mtani bespoke au papaa pale mikocheni ooh wee hautatamani kuivua , ila andaa laki nane yako tu mzee
 
zinashonwa ndio but kushona kwa designer wako mwenyewe ndio nzuri zaidi inakufit vizuri kulingana na vipimo unavotaka, inshort it's perfect plus it is much expensive
Inategemea na maduka unayoenda mkuu....hata dukani pia fitting hufanyika na size husika kuendana na mwili na matakwa yako hupatikana.
Na hata bei pia inakuwa imechangamka zaidi na kuendana na bidhaa.
 
Kinachoongelewa hapo ni suti, hii suti tunayoifahamu au unaongelea 'suti'?
 
Back
Top Bottom