Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba taarifa zaidi. Hao mabingwa wanapatikana wapi? Wanashona vizuri? gharama ya suti kali sana ni bei gani?all in all jua kwamba suti za kushona ndio nzuri zaidi cause inakutoshea vizuri kabisa kulingana na vipimo vyako , af tena ukaishona kwa watu wanaojua kama kina mtani bespoke au papaa pale mikocheni ooh wee hautatamani kuivua , ila andaa laki nane yako tu mzee
Kwani za "dukani" hazishonwi?Wadau.
Napenda Sana vazi la suti.
Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau.
Naomba jua.
1 Gharama za suti hiyo?
2. Je Ni ya kushona au ya Dukani?
3. Je rangi yake inaendana na huyo Mdau?
Aksanteni Sana
Kwani za "dukani" hazishonwi?
Suti hiyo ni ya kushona. Hata ya dukani pia ni ya kushonwa. Gharama yake ni laki moja na ishirini tu. Mi pia ni fundi, njoo PM tuzungumze nduguNimekuwekea picha
Kumbe zimeshuka bei.. asante kwa taarifa njema.all in all jua kwamba suti za kushona ndio nzuri zaidi cause inakutoshea vizuri kabisa kulingana na vipimo vyako , af tena ukaishona kwa watu wanaojua kama kina mtani bespoke au papaa pale mikocheni ooh wee hautatamani kuivua , ila andaa laki nane yako tu mzee