Kumbe zimeshuka bei.. asante kwa taarifa njema.
all in all jua kwamba suti za kushona ndio nzuri zaidi cause inakutoshea vizuri kabisa kulingana na vipimo vyako , af tena ukaishona kwa watu wanaojua kama kina mtani bespoke au papaa pale mikocheni ooh wee hautatamani kuivua , ila andaa laki nane yako tu mzee

Inategemea na maduka unayoenda mkuu....hata dukani pia fitting hufanyika na size husika kuendana na mwili na matakwa yako hupatikana.zinashonwa ndio but kushona kwa designer wako mwenyewe ndio nzuri zaidi inakufit vizuri kulingana na vipimo unavotaka, inshort it's perfect plus it is much expensive