Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye picha hapo juu kuanzia pua na vitu vingine
Nataka kujua tu huyu bidada ana asili gani sio kwa ubaya mtoto wa kike unapokuwa mzuri kupindukia kufuatiliwa ni jambo la kawaida inabidi uwe proud.
Miner Spartan mama umejaliwa umewaacha mbali sana akina LULU,JOKATE,WEMA,KAJALA wote hao hakuna anayekufikia hata kwa nukta.
Halafu huyu mshikaji anayemkaza huyu demu(Dullah Spartan) nampa big up madem kama hawa huwa wanaishia kwa mapedeshee tu.