Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

attachment.php

Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye picha hapo juu kuanzia pua na vitu vingine
Nataka kujua tu huyu bidada ana asili gani sio kwa ubaya mtoto wa kike unapokuwa mzuri kupindukia kufuatiliwa ni jambo la kawaida inabidi uwe proud.
Miner Spartan mama umejaliwa umewaacha mbali sana akina LULU,JOKATE,WEMA,KAJALA wote hao hakuna anayekufikia hata kwa nukta.
Halafu huyu mshikaji anayemkaza huyu demu(Dullah Spartan) nampa big up madem kama hawa huwa wanaishia kwa mapedeshee tu.
attachment.php

attachment.php

mbona wa kawaida!
#uzuri uko machoni kwako!
 
Huyu demu mbona walishamjadili tena hapa hiyo thread hakuchangiwa na mtu na Leo tena umeamua uje mwenyewe kuja kujipiga promo
 
Pamoja na filter kama 500... Ila hata akipita hatonishtua... Labda kalio tuu ambalo mtaani siku hiz madem wote wanayafuga
 
attachment.php

Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye picha hapo juu kuanzia pua na vitu vingine
Nataka kujua tu huyu bidada ana asili gani sio kwa ubaya mtoto wa kike unapokuwa mzuri kupindukia kufuatiliwa ni jambo la kawaida inabidi uwe proud.
Miner Spartan mama umejaliwa umewaacha mbali sana akina LULU,JOKATE,WEMA,KAJALA wote hao hakuna anayekufikia hata kwa nukta.
Halafu huyu mshikaji anayemkaza huyu demu(Dullah Spartan) nampa big up madem kama hawa huwa wanaishia kwa mapedeshee tu.
attachment.php

attachment.php

Nmemaliza nae mwaka jana pale chuo cha st.joseph
Nichek pm
 
Kama tulivyo watanzania hatuwezagi kujibu tulichoulizwa, mara wa kawaida, biashara matangazo etc etc mimi sijui huyo dada...
 
promo kma kawa kila muuza kabang akiwekwa hpa wekeni na no zake.....hii mitandao imewaharibu wa2 akili mambo y insta n fb malizaneni hukohuko
 
jamaa anaemkaza uyu demu cjawahi kutana nae ila sim,pendi hata robo na anatabia za kishoga....
 
Shemeji wee shemeji wee shem lakee weweee unanitoa udeleee wewee
 
Back
Top Bottom