Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka zama hizi za 2020 wauza ngada wana survive tu?. Wana roho ngumu sana hawa watuWabongo kwa wivu WA vitu wasivyo na Hati miliki navyo bwana utasikia wa kawaida,Mara kicheche tu,kiukwel demu ni mzuri Sana tu na huyo jamaa yake ni mmoja Kati ya vijana wanaofanya biashara za madawa ya kulevya mjini hapa japo sio drug dealer wakubwa ni wale wa kutumwa na kina kinje so visenti vya kumpendezesha huyo mtoto anavyo na kumpa Bata za hapa na pale. All in all mjini hapa ukiwa na pesa nzuri huyo unakula kimyakimya then unamuachia jamaa aendelee kuuza nae sura wakat wewe ukiendelea kula wengine kimyakimya.