Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

Mr.MONDO

Member
Joined
Nov 4, 2015
Posts
17
Reaction score
0

Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye picha hapo juu kuanzia pua na vitu vingine
Nataka kujua tu huyu bidada ana asili gani sio kwa ubaya mtoto wa kike unapokuwa mzuri kupindukia kufuatiliwa ni jambo la kawaida inabidi uwe proud.
Miner Spartan mama umejaliwa umewaacha mbali sana akina LULU,JOKATE,WEMA,KAJALA wote hao hakuna anayekufikia hata kwa nukta.
Halafu huyu mshikaji anayemkaza huyu demu(Dullah Spartan) nampa big up madem kama hawa huwa wanaishia kwa mapedeshee tu.

 

Attachments

  • miner spartaan.jpg
    29.7 KB · Views: 4,174
  • Miner Spartan.jpg
    45.5 KB · Views: 4,441
  • Miner Spartan 2.jpg
    69.3 KB · Views: 4,320
Kumbe huyo kicheche mtanzania,anafanana na demu moja wakirwanda
 
A͙k͙i͙l͙i͙ z͙a͙ u͙s͙i͙k͙u͙ m͙a͙s͙k͙i͙n͙i͙ w͙e͙e͙
 
Huyu bidada ni nani haswa hapa bongo? Video queen, bongo movie au?
 

Promo....!!!???
 
Kumbe sijachelewaaa 2020 watakuwaa weng sanaa zaid ya huyo na wazurii zaidii
 
Tusije kusikia punda kama wakina masogange mana warembo wasiku hizi ndio zao
 
Nimtamu sana aiseeh alikuwa mchepuko wangu,
 
Kanaonyesha MASHINE yake iko bize sana kuliko mashine za kukamulia Alizeti za Singida ila kama umetoka Jela kanafaa kukupunguza uzito.
 
Huyu jamaa ni vip apa. Ndo anamiliki au .? Mr.mondo
 

Attachments

  • 1447081979594.jpg
    69.1 KB · Views: 1,097
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…