Naomba kujua huyu dada (Miner Spartan a.k.a Miner Muna) ana asili ya wapi

Mimi nionapo sura kama hizi natamani hata kuwa mwindaji haramu hasa meno ya tembo ili nipate pesa na niguse tu hayo maka-lio.

Ha ha ha
Uza sembe tripu mbili unachukua mzigo
 

Kama sura yake inakupendeza mchukue ukanywe naye chai.
 
mziki wa huyo dogo ni hauujui tu asee weka mbali na watoto ikibidi ikwepe tu
 
Kweli binadam tunatofautiana mbona demu wa kawaida sana...labda kidogo shepu naweza sema amejaaliwa lakini hakuna kipya.
 
Uzuri upo kwenye Pesa tu

Sent from myself
 
Huyo kicheche Ana asili ya Rwanda
 
Huyu miner Spartan kwa jina halisi anaitwa Amina Nassoro.Ni mzaliwa wa Karagwe Kagera.Kasomea shule moja inaitwa Kayanga Primary School.Kwao wana asili ya Arabu/Oman kwan ndugu zao wengi wapo Oman including ukoo wa Kasauji.Baba yake (muda mrefu nimemuona) anaishi na kufanya shughuli zake hapo Kayanga, Karagwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndo maana karagwe na rwanda karibu sana basi ana na dna za kagame
 
Pia amesoma songea st Joseph alikua wa kawaida sana anaonekana yupo juu baada ya kuanza kutoka na huyo Spartan
 
Wabongo kwa wivu WA vitu wasivyo na Hati miliki navyo bwana utasikia wa kawaida,Mara kicheche tu,kiukwel demu ni mzuri Sana tu na huyo jamaa yake ni mmoja Kati ya vijana wanaofanya biashara za madawa ya kulevya mjini hapa japo sio drug dealer wakubwa ni wale wa kutumwa na kina kinje so visenti vya kumpendezesha huyo mtoto anavyo na kumpa Bata za hapa na pale. All in all mjini hapa ukiwa na pesa nzuri huyo unakula kimyakimya then unamuachia jamaa aendelee kuuza nae sura wakat wewe ukiendelea kula wengine kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…