Wabongo kwa wivu WA vitu wasivyo na Hati miliki navyo bwana utasikia wa kawaida,Mara kicheche tu,kiukwel demu ni mzuri Sana tu na huyo jamaa yake ni mmoja Kati ya vijana wanaofanya biashara za madawa ya kulevya mjini hapa japo sio drug dealer wakubwa ni wale wa kutumwa na kina kinje so visenti vya kumpendezesha huyo mtoto anavyo na kumpa Bata za hapa na pale. All in all mjini hapa ukiwa na pesa nzuri huyo unakula kimyakimya then unamuachia jamaa aendelee kuuza nae sura wakat wewe ukiendelea kula wengine kimyakimya.