Naomba kujua jambo

Joined
Sep 10, 2019
Posts
17
Reaction score
15
Habarin ndugu zangu kwemah!!? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi au wengine utasikia kwetu nimeata au wamejizindika miili yao , swali langu mm ni ivi kwa watu kama ao huo wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…