Wakisha itumia baada ya muda wanairudisha ndani ya boksi lake na kuifunga kama ilivyokuwa. Sio rahisi kwa mteja kung`amua kama ilikwisha wekwa kwenye Show! Hali kadhalika model husika inapokwisha na kubaki moja wanaipaki upya...Used mpya.. 😀😀😀
Mimi huo upumbavu wao huwa naupingaga sana. ndio mana nikitaka kitu na tukisha afikiana bei nataka unitolee kitu nione kikikatwa seal na kutestiwa mbele yangu.
Ila nichojifunza ni kuwa, Ukihitaji TV husika basi huenda kukuchukulia stoo, Ndivyo ilivyo kwa maduka ya hapa Kariakoo.ukinunua utasema umenunua Tv mpya au iliyotumika (used)?
Kwa sisi wapenda ligi tunazijua tu. kitu iliyotumika utaijua tu ikishafunguliwa.Wakisha itumia baada ya muda wanairudisha ndani ya boksi lake na kuifunga kama ilivyokuwa. Sio rahisi kwa mteja kung`amua kama ilikwisha wekwa kwenye Show!
Ila nichojifunza ni kuwa, Ukihitaji TV husika basi huenda kukuchukulia stoo, Ndivyo ilivyo kwa maduka ya hapa Kariakoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Used mpya.. 😀😀😀
Mimi huo upumbavu wao huwa naupingaga sana. ndio mana nikitaka kitu na tukisha afikiana bei nataka unitolee kitu nione kikikatwa seal na kutestiwa mbele yangu.
Wapendwa naomba kujua je zile Tv zinazowashwa kila siku kwenye maduka ya Tv (Demo), ukinunua utasema umenunua Tv mpya au iliyotumika (used)?
Zile ni sample, ukisema unataka hii wanaenda kukuletea kama hiyo kutoka store.Wapendwa naomba kujua je zile Tv zinazowashwa kila siku kwenye maduka ya Tv (Demo), ukinunua utasema umenunua Tv mpya au iliyotumika (used)?