nijuavyo mimi, joyce kiria ameachana na nelly, na alipost picha zake akienda kutambulishwa na mumewe mpya huko uchagani, na ndo mwenye mimba. Mimi i was fan mkubwa wa joyce kiria, she is creative and confident. But niliwah kusoma makala yake moja kuwa ametembea na wanaume idadi yake haikumbuki coz alikuwa mzuri hivyo asingeweza kufanikiwa kuwakataa-according to yeye. Hivyo nelly alipaswa alitambue hili. Kinachoniboa kuhusu joyce now...anajiona amekuwa tyra bank, hivyo anajisahau na kujishaua mno, kiasi kwamba anaharibu kazi yake. Me sijabuy idea yake eti alikuwa housegirl, anataka kujipa umaarufu wa kina oprrah. Sina chuki naye, nilikuwa nampenda sana but now she is out of the track, analewa umaarufu.
Namfatilia kwa karibu sana, nachoweza kusema she is not smart gal. Antumia mwili wake kama kigezo cha kutokea.
Achukue mifano kama kina irene kiwia, she is smart, confident, and creative and beautiful.