Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

duh.this is really sad,that what i say wanawake hawaridhiki and hawawezi vumilia shida most of them,,
I say now days most of mapenzi ni pesa and not true!!!
This completely proves!!

Mkipata waukweli mnawatenda na kufuata gold diggers!Acha yawapateni mjifunze.
 
Nijuavyo mimi, Joyce Kiria ameachana na Nelly, na alipost picha zake akienda kutambulishwa na mumewe mpya huko Uchagani, na ndo mwenye mimba. Mimi i was fan mkubwa wa Joyce Kiria, she is creative and confident. But niliwah kusoma makala yake moja kuwa ametembea na wanaume idadi yake haikumbuki coz alikuwa mzuri hivyo asingeweza kufanikiwa kuwakataa-according to yeye. Hivyo Nelly alipaswa alitambue hili. Kinachoniboa kuhusu Joyce now...anajiona amekuwa Tyra Bank, hivyo anajisahau na kujishaua mno, kiasi kwamba anaharibu kazi yake. Me sijabuy idea yake eti alikuwa Housegirl, anataka kujipa Umaarufu wa kina Oprrah. Sina chuki naye, Nilikuwa nampenda sana but now she is out of the track, analewa Umaarufu.
Namfatilia kwa karibu sana, nachoweza kusema she is not smart gal. antumia mwili wake kama kigezo cha kutokea.
Achukue mifano kama kina Irene Kiwia, she is Smart, confident, and creative and beautiful.
 
Ni creative, amejitahidi kwa kweli,
Ameolewa na DJ Nelly wa Clouds FM, kwa sasa ni mja mzito nafikiri ndo uzao wake wa kwanza!!!

baba ubaya Joyce alkua na si mke wa Nelly kwa sasa!! Joyce alishtuka mapemaa kuwa hawawezi kuishi akajiondokea kwa kwa usalama
 
huyo mtu hana lolote, ametolewa mbali sana na dj.nelly kipindi hicho ata hajulikan kokote.., jamaa akamtafutia kazi channel ten coz mshikaj alikua close na media za bongo sa huyo alvyoanza kujulikana akaanza kumwekea nyodo mwenzake mpka kasababisha mchiz kufkuzwa cloudz fm inasemekana kuna ufujaji ulitokea kwenye sekta yake... sa hz mchzi hana kitu afu ndo anamuomba talaka kasahau alipomtoa.!!! dats al, on ma syd shz nthn

kumtoa mtu mbali na kumsaidia ni sawa lakini haimaanishi kuwa eti ukae na mtu kwa mateso tuu kisa kakutoa mbali....... sometime inabidi upime uchukue maamuzi mapemaaaa

BIG UP JOYCE
 
nijuavyo mimi, joyce kiria ameachana na nelly, na alipost picha zake akienda kutambulishwa na mumewe mpya huko uchagani, na ndo mwenye mimba. Mimi i was fan mkubwa wa joyce kiria, she is creative and confident. But niliwah kusoma makala yake moja kuwa ametembea na wanaume idadi yake haikumbuki coz alikuwa mzuri hivyo asingeweza kufanikiwa kuwakataa-according to yeye. Hivyo nelly alipaswa alitambue hili. Kinachoniboa kuhusu joyce now...anajiona amekuwa tyra bank, hivyo anajisahau na kujishaua mno, kiasi kwamba anaharibu kazi yake. Me sijabuy idea yake eti alikuwa housegirl, anataka kujipa umaarufu wa kina oprrah. Sina chuki naye, nilikuwa nampenda sana but now she is out of the track, analewa umaarufu.
Namfatilia kwa karibu sana, nachoweza kusema she is not smart gal. Antumia mwili wake kama kigezo cha kutokea.
Achukue mifano kama kina irene kiwia, she is smart, confident, and creative and beautiful.

namkubali sana joyce kwa yote sisi ni binadamu.......... Unwaeza kufikiri unamjua joyce au irene lakini kumbe ujuavyo ndivyo sivyo!! hakuna aliye perfect sote tumepungukiwa
 
Huyu mdada ana maisha mabovu na makengeza yake. Alichonishangaza ni ile baada ya kutaka talaka kwa nguvu zake na Nelly kukataa kutoa alipelekwa mahakamani, talaka ikatoka. Hii siyo umbea ilitangazwa radion na akaongea mwenyewe kwamba alikuwa aende ana matarumbeta mahakamani akachukue talak yake lakini hakufanya hivvyo kwa sababu.

Kwanza kabisa kipindi chake EATV ukikiangalia kinachefua wewe unayemsifia kwamba anajua ni uongo mtupu. Anaongea kuliko hata yule anayehojiwa ikimaanisha anaelewa kuliko yule anayeulizwa. Siombei mabaya, ila kwa kitendo chake cha kumwacha mwanaume kwa sababu eti mambo yameenda vibaya, inarudi katika njia ile ile. Yule na makengeza yake yule mtamkuta ni KAUNGUJA na hapo NELLY atakuwa yuko juu.

Nachukia sana wanawake wa sampuli hii, imagine NELLY kapoteza muda mwingi kwa kahaba kama yule. USELESS GIRL. Inauma sana jamani msione naongea kwa jazba hivi umefunga ndoa ndani ya mwaka mtu analeta gozi gozi.

Sorry kama kuna mtu nimemuudhi ila huyu dada ni ZIRO!
 
180372_189478104405733_100000306346536_561850_7806672_n.jpg

Alishaachana na mumewe kitambo na talaka hii kaisambaza mwenyewe Joyce mitandaoni, kwa amebarikiwa kupata baby girl by the name Michelle amezalishwa na chalii mmoja kutoka Kilimanjaro they are very happy indeed.
 
she is nothing!yeye ni kama sauda mwilima wa star tv!wanajitahidi kutaka kuonekana watoto wa mjini ila damu ya ushamba haiwabanduki!

Ni kweli saida bado anaonekana kuku wa kienyeji lakini huyu kiria anaonekana kama mtoto wa kizungu.
 
Inasikitisha sana.

180372_189478104405733_100000306346536_561850_7806672_n.jpg

Alishaachana na mumewe kitambo na talaka hii kaisambaza mwenyewe Joyce mitandaoni, kwa amebarikiwa kupata baby girl by the name Michelle amezalishwa na chalii mmoja kutoka Kilimanjaro they are very happy indeed.
 
Huyu mdada ana maisha mabovu na makengeza yake. Alichonishangaza ni ile baada ya kutaka talaka kwa nguvu zake na Nelly kukataa kutoa alipelekwa mahakamani, talaka ikatoka. Hii siyo umbea ilitangazwa radion na akaongea mwenyewe kwamba alikuwa aende ana matarumbeta mahakamani akachukue talak yake lakini hakufanya hivvyo kwa sababu.

Kwanza kabisa kipindi chake EATV ukikiangalia kinachefua wewe unayemsifia kwamba anajua ni uongo mtupu. Anaongea kuliko hata yule anayehojiwa ikimaanisha anaelewa kuliko yule anayeulizwa. Siombei mabaya, ila kwa kitendo chake cha kumwacha mwanaume kwa sababu eti mambo yameenda vibaya, inarudi katika njia ile ile. Yule na makengeza yake yule mtamkuta ni KAUNGUJA na hapo NELLY atakuwa yuko juu.

Nachukia sana wanawake wa sampuli hii, imagine NELLY kapoteza muda mwingi kwa kahaba kama yule. USELESS GIRL. Inauma sana jamani msione naongea kwa jazba hivi umefunga ndoa ndani ya mwaka mtu analeta gozi gozi.

Sorry kama kuna mtu nimemuudhi ila huyu dada ni ZIRO!

LoL mshangao
 
hata mie huyo Caloline Danzi kanishangaza kweli alivyoshupalia hio ndoa ya mwenzanke,ukute na yake inafuka moshi tu.:rip::rip:
 
Loo! Mungu atamsaidia Dj,

afrika bwana...kila kitu Mungu

Vipi kesho timu itashinda???...Aaah Mungu atatusaidia

Mvua je...Mungu atatusaidia...

Barabara je...Mungu...

Mungu lazima atakuwa bize sana
 
afrika bwana...kila kitu Mungu

Vipi kesho timu itashinda???...Aaah Mungu atatusaidia

Mvua je...Mungu atatusaidia...

Barabara je...Mungu...

Mungu lazima atakuwa bize sana

umenifanya siku yangu iwe nzuri kwa siku ya leo.nimecheka kweli
 
kumtoa mtu mbali na kumsaidia ni sawa lakini haimaanishi kuwa eti ukae na mtu kwa mateso tuu kisa kakutoa mbali....... sometime inabidi upime uchukue maamuzi mapemaaaa

BIG UP JOYCE
hata kama mmeoana, kwahiyo ukiolewa na mwanaume mwenye pesa, halafu pesa zikaisha ndo unamtosa? wewe mawazo yako ni finyu kama akili ya samaki...pusi.
 
mwanamke wa type ya huyu wa 'wanawake live" ni nyanya kabisa, yafaa zikatwekatwe, zipikiwe wali mtamuuu alafu hauliwi na binadamu, unawapa mbwa/bobi......

uzuri wote ule ametoa talaka, na yeye anajidai mkristo..nyie wachagga na pesa hata lini jamani? yaani ukiolewa na mtu anapesa unafurahi, zikimuishia unataka talaka, huo si utumbo...pyuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani mnaambiwa mpende mwenzio kama unavyojipenda kama unampenda mwenzio zaidi ya unavyojipenda yatakukuta kama ya dj nelly.....kumpenda mwenzio hadi kupoteza uaminifu wako kazini ni kutojiamini!pole nelly utampata mwengine!
 
Back
Top Bottom