Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
as-salāmu ʿalaikum, wanajamvi
Mie naomba kuuliza kuhusu Kadhi Court; Je ikianzishwa mahakimu watakuwa wakina nani? Je mahakimu wetu hawa wa sheria za Jamhuri wataruhusiwa kusikiliza kesi hizo? yaani tuseme kama mama Munuo (mwanamke) pale...anapigwa course miezi sita ya sheria za Kiislam halafu anatoa hukumu! Na kama haruhusiwi mtu yeyote zaidi ya Ma-sheik (yaani wale wenye imani ya kiislam), Je kesi zenyewe zitafanyika wapi? katika majengo ya mahakama ya Jamhuri au? na kama ni majengo hayo, ni kwanini wahusika wakubali ku-share majengo sehemu yasiyo takatifu kutoa hukumu yenye itikadi za kiimani ilhali wawe tayari kukataa wataalam yaani ma-judge waliopo kuzihukumu kesi hizo kama Afrika kusini (iliyo incorporate Kadhi laws in the main stream laws)? huo u-radical unatoka wapi? na kwanini watake pia kutumia funds toka serikali ya Jamhuri ambayo inakusanya kodi kwa hata wale wasio waislam maana hapa kuna swala la imani flani sasa kama unakataa mtu asikusomee hukumu kwa vile si mtu wa imani yako sasa suala la fedha za uendeshaji linakaaje kaaje?
NOTE
hayo ni maswali tu sina nia ya kumbughudhi mtu naomba ustaarabu katika kujibu tupate logical sense...