Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #21
hivyo hivyo kaka! siku hizi tunavaa nguo elimu hamna kama huna fedha kipi bora?na ukivaa gunia? kwani nguo zimaeanza wakati wa mwinyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivyo hivyo kaka! siku hizi tunavaa nguo elimu hamna kama huna fedha kipi bora?na ukivaa gunia? kwani nguo zimaeanza wakati wa mwinyi
nitaidai vp wakati nikikemea mnadai mie naichukia serikali ya Kikwete ati kwa vile sio dini yangu
hahahaha, umesikia ya wikili kwamba vatican yaficha siri na yakataa kutoa ushahidi wa mapadri wabakaji? sasa kazi ya kwanza kadhi ni kuwatafuta na kuwaadhibu mapadri hao
MOD tunawaomba mtusaidie huyu jamaa ana shusha hadhi ya great thinkers! hii ni kitu gani?
massage sent,though!!
Hii si Ibada bali ni taratibu ya maisha ya watu wanaomjua Mungu wa Kweli. Kuhusu kodi zenu mbona hamna kodi nyie kwani yote inaishia katika misamahja mnayoomba!1
Kwa punzi zako inaonekana unayakosa hayo. Au nyie ndio mliotengwa na KKT kwa kupendelea hiyo shughuli na nasikia inabidi lazima iwe change bin change katika huo mchezo wenu!!mbona haiwaadhibu wale masultan mababwa wa Saudia Arabia walio Riyadh a stone throw away from Mecca and Medina? mmoja amedakwa juzi landani baada ya kuua mwandani wake! au mkuki kwa nguruwe? na wale wanaokuja Loliondo na Zanzibar? huwa wanakuja na mabwabwa imported toka Ulaya kujivinjari nayo...
Hivyo serikali ni ya Kiislamu? Haijambo kuwa inawapendelea bado wasio Waislamu.nitaidai vp wakati nikikemea mnadai mie naichukia serikali ya Kikwete ati kwa vile sio dini yangu
Unaibisha waislam wenzako walau walio na elimu na ustaarabu! Wewe hata kama ni shekhe respect imani za wenzako. Nina wasi wasi hata uislamu huujui kabisa umebakia kupiga filimbi.
Wale wale!
at least baba yangu mie alisoma bure na umaskini ule! mie bana sitaki kodi yangu itumike hivyo nyie mna matajiri wengii nchi hii wakina Bakhresa, Mohammed Enterprises, Rostam Aziz, Abood na wengineo mnaweza anzisha Kadhi fund mahakama zikasimama watu wakala shuluba yao kama imani inavyoruhusu bila ya kuniibia mie! mie ninunulieni dawa hospitali.....! Mnaninyanyapaa hivyoooo...
Huyo Rostam hayuko kwetu, ni mpagani kama wewe ndio maana yuko bize na Ufisadi, Hao uliwataja juu ni walipa kodi wazuri kama wewe na ndio hela ya kodi ya serikali kuendesha hiyo mahakama itakapotokea, usijifanye unalipa kodi wewe na baba ako tu!
Huwezi kupata wengine kwani kama si bosi wako ni jirani wako, kama si mfanyakazi wako ni shemegi yako. Usichotambua wewe ni kuwa wewe na dini yako na sisi na dini yetu sote ni Watanzania na unapoleta kejeli kwa wenzako unasahau kuwa ni kazi kubwa kujenga ustaarabu kuliko kuiga kejeli.
Ona Juha huyu anavyochakatuka. Pole weee
Pole wewe usie juu kama Rostam ni muabudu miti kama wewe! una babaika na jina?
Kutwa anachangia Makanisa na Kwaya (umesahau skandali ya Kinondoni?)
Crap your naniniiii....Crap!
Pole wewe usie juu kama Rostam ni muabudu miti kama wewe! una babaika na jina?
Kutwa anachangia Makanisa na Kwaya (umesahau skandali ya Kinondoni?)
Ibara ya 19 (2)
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
"Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi."
Thanx ma feloI am Full Time Alcoholic![]()