Naomba kujua juu ya kadhi court

nitaidai vp wakati nikikemea mnadai mie naichukia serikali ya Kikwete ati kwa vile sio dini yangu

Basi na hili la Kadhi nyamaza kimya ! ................... lichukulie kama utupu wa mkweo!
 
hahahaha, umesikia ya wikili kwamba vatican yaficha siri na yakataa kutoa ushahidi wa mapadri wabakaji? sasa kazi ya kwanza kadhi ni kuwatafuta na kuwaadhibu mapadri hao

Unaibisha waislam wenzako walau walio na elimu na ustaarabu! Wewe hata kama ni shekhe respect imani za wenzako. Nina wasi wasi hata uislamu huujui kabisa umebakia kupiga filimbi.
 
MOD tunawaomba mtusaidie huyu jamaa ana shusha hadhi ya great thinkers! hii ni kitu gani?

How about this below

Originally Posted by yaya

kazi kubwa ni kuwakamata mapdri wote wanaobaka watoto na kuwachapa bakora hadharani



Mngeaza kumkamata ngumbaru mohd kwa kumbaka aisha
 
Hii si Ibada bali ni taratibu ya maisha ya watu wanaomjua Mungu wa Kweli. Kuhusu kodi zenu mbona hamna kodi nyie kwani yote inaishia katika misamahja mnayoomba!1

Hata mie nawashangaa!!.................... wamekazana kodi yetu kodi yetu ! wakati wanaimaliza na misamaha !
 
Kwa punzi zako inaonekana unayakosa hayo. Au nyie ndio mliotengwa na KKT kwa kupendelea hiyo shughuli na nasikia inabidi lazima iwe change bin change katika huo mchezo wenu!!
 
Unaibisha waislam wenzako walau walio na elimu na ustaarabu! Wewe hata kama ni shekhe respect imani za wenzako. Nina wasi wasi hata uislamu huujui kabisa umebakia kupiga filimbi.

Wewe na wenzio mngekuwa na respect na Imani za wenzenu, msingejishughulisha kabisa na hili, kwakuwa haliwagusi wala haliwapunguzi kitu. Ila kwa kuwa mna wivu na roho mbaya .......... basi bora mkeshi! halali mtu humu, bandika bandua!!
 
Wale wale!


Huwezi kupata wengine kwani kama si bosi wako ni jirani wako, kama si mfanyakazi wako ni shemegi yako. Usichotambua wewe ni kuwa wewe na dini yako na sisi na dini yetu sote ni Watanzania na unapoleta kejeli kwa wenzako unasahau kuwa ni kazi kubwa kujenga ustaarabu kuliko kuiga kejeli.
 

Huyo Rostam hayuko kwetu, ni mpagani kama wewe ndio maana yuko bize na Ufisadi, Hao uliwataja juu ni walipa kodi wazuri kama wewe na ndio hela ya kodi ya serikali kuendesha hiyo mahakama itakapotokea, usijifanye unalipa kodi wewe na baba ako tu!
 
Huyo Rostam hayuko kwetu, ni mpagani kama wewe ndio maana yuko bize na Ufisadi, Hao uliwataja juu ni walipa kodi wazuri kama wewe na ndio hela ya kodi ya serikali kuendesha hiyo mahakama itakapotokea, usijifanye unalipa kodi wewe na baba ako tu!

Ona Juha huyu anavyochakatuka. Pole weee
 

Crap!
 
Ibara ya 19 (2)
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

"Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi."
 
Pole wewe usie juu kama Rostam ni muabudu miti kama wewe! una babaika na jina?
Kutwa anachangia Makanisa na Kwaya (umesahau skandali ya Kinondoni?)


Wengine hujificha kwenye majina kuepuka ukweli. Unafikiri ana uwezo wa kunyoosha mkono ? huyo ni spoonfeeding!
 

Usijidanganye! Na Serikali itajishughulisha na mambo ya nani iwapo itakuwa haishughuliki na mambo ya watu wake? Naona kuna Wizara ya Michezo, Kuna wizara ya Katiba na Sheria haya yote haykupi jibu kuwa Serikali ni wajibu wake kwa mambo ya wananchi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…