Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,498
- 3,881
Pole mkuu, dawa ya deni kulipa usije ukadhalilika na familia yakoIko hivi kuna rafiki yangu alikopa kwenye hizi microfinance kwa makubaliano ya kulipa baada ya mwaka mmoja na aliweka nyumba kama dhamana ,lakini mambo yalimwendea ndivyo sivyo pesa ikavurugika,sasa jamaa baada ya kuona hivyo akakimbia bila hata kunishirikisha.
Msaada wangu kujua kisheria:- 1.tunaweza kushawishi kuongeza muda wa kulipa mkopo?
2.wanaweza piga bei kiwanja hata kama mwenye nacho hayupo?.
-Naomba msaada nataka nisaidiane na mkewe kuokoa nyumba watoto wasije dhalilika.
Mkuu hivi haiwezekani kuongeza muda au kulipa kidogo kidogo.Pole mkuu, dawa ya deni kulipa usije ukadhalilika na familia yako
Funzo: usikope kwenye hizi microfinance wana majanga sana
vyote vinawezekana kulingana na taratibu/masharti/kanuni mlizokubalianaMkuu hivi haiwezekani kuongeza muda au kulipa kidogo kidogo.
Kimsingi lengo la benki sio kuuza nyumba bali ni kulipwa pesa zao hivyo basi mnàweza kumwona branch manager mkamwambia mnaweza kuongezewa mudaIko hivi kuna rafiki yangu alikopa kwenye hizi microfinance kwa makubaliano ya kulipa baada ya mwaka mmoja na aliweka nyumba kama dhamana ,lakini mambo yalimwendea ndivyo sivyo pesa ikavurugika,sasa jamaa baada ya kuona hivyo akakimbia bila hata kunishirikisha.
Msaada wangu kujua kisheria:- 1.tunaweza kushawishi kuongeza muda wa kulipa mkopo?
2.wanaweza piga bei kiwanja hata kama mwenye nacho hayupo?.
-Naomba msaada nataka nisaidiane na mkewe kuokoa nyumba watoto wasije dhalilika.