Naomba kujua Kimantiki kwanini anayejitambulisha hivi anaonekana Kakosea na wa hivi Kapatia?

Naomba kujua Kimantiki kwanini anayejitambulisha hivi anaonekana Kakosea na wa hivi Kapatia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi ndiyo inadaiwa yuko sahihi) na kapatia.

Majina yangu ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi inadaiwa kuwa amekosea) anaharibu Lugha.

Haya Mangwena (Magwiji na Wabobezi) wa Lugha ya Kiswahili tafadhali tupeni Madini ili tujue Ukweli ni upon na nani huwa yuko sahihi?
 
Ukisema unaitwa naona ndio unakosea. Kuitwa huko unaitwa na nani? Unanaweza kuwa unaitwa majina mbalimbali tofauti na majina yako rasmi.

Lakini ukisema majina yangu ni Chachu Ombara naona inakaa safi maana yanakuwa rasmi.
 
Unatakiwa kusema
Kwa mfano.
Jina langu nii Mwandende kichuguu Mwandende .
.hupaswi kusema majina yangu ni mwandende kichuguu mwandende..

Jina lako ni 1 tu,,hayo mengine ya ukoo.
 
Back
Top Bottom