GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 17, 2023 #1 Naitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi ndiyo inadaiwa yuko sahihi) na kapatia. Majina yangu ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi inadaiwa kuwa amekosea) anaharibu Lugha. Haya Mangwena (Magwiji na Wabobezi) wa Lugha ya Kiswahili tafadhali tupeni Madini ili tujue Ukweli ni upon na nani huwa yuko sahihi?
Naitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi ndiyo inadaiwa yuko sahihi) na kapatia. Majina yangu ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura GENTAMYCINE (anayejitambulisha hivi inadaiwa kuwa amekosea) anaharibu Lugha. Haya Mangwena (Magwiji na Wabobezi) wa Lugha ya Kiswahili tafadhali tupeni Madini ili tujue Ukweli ni upon na nani huwa yuko sahihi?
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,067 Reaction score 10,938 Aug 18, 2023 #2 Ukisema unaitwa naona ndio unakosea. Kuitwa huko unaitwa na nani? Unanaweza kuwa unaitwa majina mbalimbali tofauti na majina yako rasmi. Lakini ukisema majina yangu ni Chachu Ombara naona inakaa safi maana yanakuwa rasmi.
Ukisema unaitwa naona ndio unakosea. Kuitwa huko unaitwa na nani? Unanaweza kuwa unaitwa majina mbalimbali tofauti na majina yako rasmi. Lakini ukisema majina yangu ni Chachu Ombara naona inakaa safi maana yanakuwa rasmi.
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Aug 18, 2023 #3 Unatakiwa kusema Kwa mfano. Jina langu nii Mwandende kichuguu Mwandende . .hupaswi kusema majina yangu ni mwandende kichuguu mwandende.. Jina lako ni 1 tu,,hayo mengine ya ukoo.
Unatakiwa kusema Kwa mfano. Jina langu nii Mwandende kichuguu Mwandende . .hupaswi kusema majina yangu ni mwandende kichuguu mwandende.. Jina lako ni 1 tu,,hayo mengine ya ukoo.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Aug 18, 2023 #4 Uzi wa bungapopo sura ya mshindo