ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande wa vipimo.
Wakaniambia wao hawajua na hawana specification, hivyo tuchukue futi tupime, hatukuweza kupata vipimo sahihi, basi nikarudi Kwa kaka yangu google na kumuuliza specifications za simtank za lita 10,000 na 8000, lakini sijapata jawabu. Sasa nashangaa je taarifa hizi ni Siri au shida Nini. Kwanini hizi taarifa muhimu hawaweki mitandaoni, siku moja nimeenda dukani nikaona marumaru moja, nikamuuliza je hii box moja inajenga square meter ngapi, akanambia hajui , na Wala ye si fundi, yeye anauza Kwa box shilingi hiyo
Sasa nimeamua kuja jamvini Kwa watu wenye akili zao, naombeni msaada wa vipimo vya simtank ya lita 5000, 8000 na 10000 Kwa maana ya height na diameter???