Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

Posho zao hutoka kwenye shirika husika ila zinapitia serikalini kwasababu hao watu wapo chini ya serikali
 
Hii huwa ni kama kazi ya kujitolea, mradi unapokuja unaohusu masuala ya afya na unahitaji hao watu basi hao hutumika. Mishahara yao hutegemea na bajeti ya shirika husika lakini sio mikubwa
Hamna kuna tangazo lilitoka kwa baadhi ya mikoa kk wanataka kuajiri nataka nijue either nipige chini kama hela kidg but lina hela lilitangazwa na or tamisemi kk
 
kama una mishe ya maana achana nayo lakini kama upo kitaa unaungaunga pita nayo hiyo connection huwa zinaanzia huko
 
Hamna kuna tangazo lilitoka kwa baadhi ya mikoa kk wanataka kuajiri nataka nijue either nipige chini kama hela kidg but lina hela lilitangazwa na or tamisemi kk
Kuna donors huwa wanatoa fund za kutekeleza miradi kupitia serikali mfano UNICEF wao wanatoa fund kwa serikali na miradi inatekelezwa na serikali hivyo watu kama hao lazima wahitajike ndo maana hizo nafasi pengine zimetangazwa
 
Naelewa vizuri kk nazan sasa utakuwa ni mpango ulioboreshwa zaidi ili kukidhi ongezeko la watu maginjwa na vifo vya mama na mtoto hasa huko vijijini
 
Back
Top Bottom