Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

Namnukuu waziri was afya siku ya uzinduzi wa hiki kitengo mbele ya mh makamu wa rais"tumeamu kuajiri wanajeshi tutakaokuwa tunawatanguliza katika Vita yoyote ya janga kiafya kupambana kabla haijafka hatua ya kitaifa,katika wakati huu hatutamwajiri mtu kutoka tanga kwenda kigoma Bali atatoka katika jamii hiyohiyo anaejua tamaduni hata lugha za eneo husika,watapewa mafunzo miezi sita ,watakuwa na uwezo wa kuibua wagonjwa katika jamii na kutafuta suruhu ili kuondoa msongamano katika vituo vyetu vya afya ieleweke mafunzo haya Ni tofauti kabisa na yale yaliyokwisha tangulia, tutamlipa posho ya kila mwezi,mwisho wa kunukuu .Sasa hapo posho ndo kiasi
Namnukuu waziri was afya siku ya uzinduzi wa hiki kitengo mbele ya mh makamu wa rais"tumeamu kuajiri wanajeshi tutakaokuwa tunawatanguliza katika Vita yoyote ya janga kiafya kupambana kabla haijafka hatua ya kitaifa,katika wakati huu hatutamwajiri mtu kutoka tanga kwenda kigoma Bali atatoka katika jamii hiyohiyo anaejua tamaduni hata lugha za eneo husika,watapewa mafunzo miezi sita ,watakuwa na uwezo wa kuibua wagonjwa katika jamii na kutafuta suruhu ili kuondoa msongamano katika vituo vyetu vya afya ieleweke mafunzo haya Ni tofauti kabisa na yale yaliyokwisha tangulia, tutamlipa posho ya kila mwezi,mwisho wa kunukuu .Sasa hapo posho ndo kiasi gani hatujiu
We kweli hapo kazini kuna kazi na hizo poshoo
 
Yes, hata sisi mtaani kwetu jumamosi iliyopita walitambulishwa vijana 2 kwamba ndo watakuwa ma CHW.
 
Kijana kama huna mishe ya maana usiiache hii nenda nayo tu maana itakusaidia katika mambo muhimu 3
1. Itakuongezea experience (unaimprove CV yako)
2. Itakutengenezea connection (utakutana na watu tofauti na mtajenga bond)
3. Hiyohiyo posho ndogoitakusukuma kujikwamua kuliko bure tu.
 
naomba niulize jambo moja mkuu... ukianza hio kazi je unaruhusiwa kwenda kujiendeleza kielimu zaidi ya uliyonayo sasa?! na kama ndio inatakiwa ufanye kazi muda gani mpaka uweze kuruhusiwa kwenda masomoni?!
 
Mkuu sina jibu la moja kwa moja maana sijui taratibu zake, lakini nadhani kazi hiyo haimbani sana mhusika kiasi kwamba kama anataka kwenda kusoma azuiliwe
 
kazi za kujitolea hzo hamna maslahi humo sema kama hujakaa vzuri unafanya tu upate chochote... ila naskia kwenye ishu ya mafunzo mnapewa na posho
IMG-20240706-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom