Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

Mi Nliomba na nimepata, ila nimepiga chini, sio ajira ya kudumu ni mkataba wa miaka mitano, posho kwa mwezi ni laki moja....na unagharamiwa gharama zote za mafunzo
 
Sidhani Kama itakuwa 1k sababu kwa Sasa CHW
wameiweka chini ya wizara ya afya Kama ngazi ya kwanza kabisa ya watumishi wa wizara ya afya,hivyo wataingizwa kwenye mfumo wa utumishi wa uma,kingine tumarupurupu twa semina tutakuwa twingi maana kila tukio la kiafya mtaani kwenu nyie ndo mnafanya ,iwe chanjo,matukio ya dharura ya kiafya kwenye jamii nyie ndo wa kwanza kufika hivyo mpunga utakuepo .
 
Tatizo mnachanganya,walizotangaza mikoa 10 ya awali ni mradi tu wa miaka 5 na unajitolea ila kuna posho ya laki ndio maana walitaka watu wa kitongoji au mtaa husika na wenye elimu ya kidato cha 4 tu,wizara ya afya haiajiri mtu asiy na taaluma ya afya then akajihusishe na mambo ya afya ya binadamu, na age walitaka mpaka miaka 55 kitu ambacho kwa umri huo uingii kwenye utumishi wa umma ambapo age ya mwisho ni 45 years

Lakini kuna wahudumu wa afya ngazi ya jamii ajira yao inatangazwa na tamisemi pamoja na zile za ualimu pia mahospitali ya rufaa na wizara ya afya na n.k hawa wanaajiriwa permanent and pensionable na sifa lazima usome community health au kozi nyingine inayofanana na hiyo

Kwa hiyo msichanganye wakuu
 
Sidhani Kama itakuwa 1k sababu kwa Sasa CHW
wameiweka chini ya wizara ya afya Kama ngazi ya kwanza kabisa ya watumishi wa wizara ya afya,hivyo wataingizwa kwenye mfumo wa utumishi wa uma,kingine tumarupurupu twa semina tutakuwa twingi maana kila tukio la kiafya mtaani kwenu nyie ndo mnafanya ,iwe chanjo,matukio ya dharura ya kiafya kwenye jamii nyie ndo wa kwanza kufika hivyo mpunga utakuepo .
Oyoooo safi sana kk wacha tupige hela kwanza sisi jobless
 
Sidhani Kama itakuwa 1k sababu kwa Sasa CHW
wameiweka chini ya wizara ya afya Kama ngazi ya kwanza kabisa ya watumishi wa wizara ya afya,hivyo wataingizwa kwenye mfumo wa utumishi wa uma,kingine tumarupurupu twa semina tutakuwa twingi maana kila tukio la kiafya mtaani kwenu nyie ndo mnafanya ,iwe chanjo,matukio ya dharura ya kiafya kwenye jamii nyie ndo wa kwanza kufika hivyo mpunga utakuepo .
Hapa majibu ni ngoja kazi ianze ndio tutajua vizur kwa sasa hamna majibu ya uhakika
 
Namnukuu waziri was afya siku ya uzinduzi wa hiki kitengo mbele ya mh makamu wa rais"tumeamu kuajiri wanajeshi tutakaokuwa tunawatanguliza katika Vita yoyote ya janga kiafya kupambana kabla haijafka hatua ya kitaifa,katika wakati huu hatutamwajiri mtu kutoka tanga kwenda kigoma Bali atatoka katika jamii hiyohiyo anaejua tamaduni hata lugha za eneo husika,watapewa mafunzo miezi sita ,watakuwa na uwezo wa kuibua wagonjwa katika jamii na kutafuta suruhu ili kuondoa msongamano katika vituo vyetu vya afya ieleweke mafunzo haya Ni tofauti kabisa na yale yaliyokwisha tangulia, tutamlipa posho ya kila mwezi,mwisho wa kunukuu .Sasa hapo posho ndo kiasi gani hatujiu
 
Back
Top Bottom