Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

Yes, hata sisi mtaani kwetu jumamosi iliyopita walitambulishwa vijana 2 kwamba ndo watakuwa ma CHW.
 
Kijana kama huna mishe ya maana usiiache hii nenda nayo tu maana itakusaidia katika mambo muhimu 3
1. Itakuongezea experience (unaimprove CV yako)
2. Itakutengenezea connection (utakutana na watu tofauti na mtajenga bond)
3. Hiyohiyo posho ndogoitakusukuma kujikwamua kuliko bure tu.
 
naomba niulize jambo moja mkuu... ukianza hio kazi je unaruhusiwa kwenda kujiendeleza kielimu zaidi ya uliyonayo sasa?! na kama ndio inatakiwa ufanye kazi muda gani mpaka uweze kuruhusiwa kwenda masomoni?!
 
Mkuu sina jibu la moja kwa moja maana sijui taratibu zake, lakini nadhani kazi hiyo haimbani sana mhusika kiasi kwamba kama anataka kwenda kusoma azuiliwe
 
Yaani serikali ikusomeshe kwa gharama hivi afu ufanye kazi miezi miwili ukimbie lazima wakufuate unapoishi😅😅😅
Wakulipe laki moja wwe utakubali hiyo hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…