Ww ndio unatoa story za vijiweni, hii habari iliandikwa na E.G.wight tafuta kitabu cha huyu mama. Tumaini KuuHiyo ni story ya vijiweni, siyo sababu ilomfanya Martin Luther kujitenga na ukatoliki. Kumbuka yeye alikuwa Theologian mwenye kujua kila kitu Vatican kwakuwa alikuwa ni clergyman ndani ya Vatican. Ni uongo pia kuwa Biblia ilisomwa na makleri/clergymen ama watu wenye vyeo vya kanisa.
Who Is E G wight...??? Au unamaanisha yule mama muhuni wa Massachusset Marekani ajulikanaye kama Ellen Gould White aliyanzisha Usabato...???Ww ndio unatoa story za vijiweni, hii habari iliandikwa na E.G.wight tafuta kitabu cha huyu mama. Tumaini Kuu
"Sura yake ilibaki kwenye kitambaa alicho futwa na veronica kwenye ile siku ya mateso yake na watuwote waliokula shavu ya picha zao kutumika ni wale waliokua wanafanana naye
Kwanini unafikiri inashindikana.."
uongo mtakatifu"kitambaa kinawezaje ku claim sura ya mtu?????????
Kwanini unafikiri inashindikana..
Kwanini unataka kumpangia mipaka Mungu...? BTW Veronika alimfuta Yesu uso uliojaa damu kwa kitambaa cheupe, na sura yake ikabaki kwenye kitambaa hicho..nikuletee kitambaa cha aina gani tu prove
Kwanini unataka kumpangia mipaka Mungu...? BTW Veronika alimfuta Yesu uso uliojaa damu kwa kitambaa cheupe, na sura yake ikabaki kwenye kitambaa hicho..
NAOMBA KUULIZA HIVI YULE JAMAA WA MAREKANI ANAYEFANANA SANA NA MAREHEMU 2 PAC, NA YEYE NI 2 PAC?
Kama huyo Yesu aliweza tembea juu ya maji unafikiri ni kipi cha kumshinda kumpa zawadi veronika ya sura yake..??unaanza kumsingizia mungu tena????????? vitu vingine ni uongo mweupe kabisa
Kama huyo Yesu aliweza tembea juu ya maji unafikiri ni kipi cha kumshinda kumpa zawadi veronika ya sura yake..??
Jibu swali nililokuuliza...ha ha ha! we jamaa una umri gani???
Jibu swali nililokuuliza...
Siwezi kufahamu tatizo lako ninini Pole sana tatizo la ukweli unaumiza.Labda nikuwe sawa hapa!
Mleta mada kaleta kasema hivi....
Kwa msisitizo akaomba msaada...
Badala ya kumjibu wewe zuzu ukaamua kwa makusudi ku-divert mada yake kwa kuandika hivi..
Baada ya kuona unatoka nje ya mada husika, mimi nikakujibu hivi....
Ila kwakuwa umedhihirisha wewe ni mbumbumbu na nivugumu kuelewa bado ukaendekea na u.puuzi wako kama unajionesha hapa
Sasa nakuuliza mimi na wewe nani mbumbumbu.....? Umelaaniwa????
Otorong'ong'o ni mbumbu utajisumbua bule usibishane na mpumbavu hujui kitu.kutokana na swali lako inaonesha akil yako fupi! kama yesu alitembea juu ya maji ikaandikwa kwenye bible ss mbona hiyo ya sura kubaki kwenye kitambaa haikuandikwa ,maana jasho kuchora sura ya mtu kwenye kitambaa nayo ni ajabu!
Mkuu kuna watu wa maajabu na Bible haijaandika chochote kuhusu sura halisi ya yesu then watu eti ni yesu ukimwambia maandiko anambwela tu.NAOMBA KUULIZA HIVI YULE JAMAA WA MAREKANI ANAYEFANANA SANA NA MAREHEMU 2 PAC, NA YEYE NI 2 PAC?
Kama huyo Yesu aliweza tembea juu ya maji unafikiri ni kipi cha kumshinda kumpa zawadi veronika ya sura yake..??
Leta maandiko acha Habari zako za vijiweniKama huyo Yesu aliweza tembea juu ya maji unafikiri ni kipi cha kumshinda kumpa zawadi veronika ya sura yake..??
Niliamua nikuache lakini nimeona wewe mtupu unahitaji msaada upo bure kabisa, leta maandiko acha Habari za vijiwe kahawa.Kwanini unataka kumpangia mipaka Mungu...? BTW Veronika alimfuta Yesu uso uliojaa damu kwa kitambaa cheupe, na sura yake ikabaki kwenye kitambaa hicho..