kandere
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 313
- 213
Ww ndio unatoa story za vijiweni, hii habari iliandikwa na E.G.wight tafuta kitabu cha huyu mama. Tumaini KuuHiyo ni story ya vijiweni, siyo sababu ilomfanya Martin Luther kujitenga na ukatoliki. Kumbuka yeye alikuwa Theologian mwenye kujua kila kitu Vatican kwakuwa alikuwa ni clergyman ndani ya Vatican. Ni uongo pia kuwa Biblia ilisomwa na makleri/clergymen ama watu wenye vyeo vya kanisa.