Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ngoja nikae sawa....kutokana na swali lako inaonesha akil yako fupi! kama yesu alitembea juu ya maji ikaandikwa kwenye bible ss mbona hiyo ya sura kubaki kwenye kitambaa haikuandikwa ,maana jasho kuchora sura ya mtu kwenye kitambaa nayo ni ajabu!
Maslahi gani ndugu!! Hebu yaweke hapa...Siwezi kufahamu tatizo lako ninini Pole sana tatizo la ukweli unaumiza.
Pale masilahi ya watu yanapoguswa
Wewe unayejua toa hoja hapa...!!!Otorong'ong'o ni mbumbu utajisumbua bule usibishane na mpumbavu hujui kitu.
Akili na utashi Mungu alivyowaumbia watu ulitaka vikatumike wapi hasa.. ???Mkuu kuna watu wa maajabu na Bible haijaandika chochote kuhusu sura halisi ya yesu then watu eti ni yesu ukimwambia maandiko anambwela tu.
Sio ukiamua uniache..Ndugu ulikosa hoja ya kutetea ulichokiandika ...Niliamua nikuache
Maandiko yapi...?? Wewe kuna reference yoyote umeleta hapa...??lakini nimeona wewe mtupu unahitaji msaada upo bure kabisa, leta maandiko acha Habari za vijiwe kahawa.
Maandiko kuhusu nini...??Leta maandiko acha Habari zako za vijiweni
Hazokuandikwa wewe unazibuni kutuhadaa?Ngoja nikae sawa....
Enyi kizazi cha nyoka mnaotaka kila kitu kiandikwe kwenye biblia nani kawaloga ...
Hufahamu kuwa kama habari zote za Yesu zingeandikwa hakika ukimwengu huu usingetosha....!!!
Picha ya yesu ipo wapi? tuthibitishie kwa maandikoMaandiko kuhusu nini...??
Leta maandiko kuonyesha picha ya Yesu ilibaki kwenye kitambaa acha kukaririshwa maneno ya vijiweni soma bible.Sio ukiamua uniache..Ndugu ulikosa hoja ya kutetea ulichokiandika ...
Maandiko yapi...?? Wewe kuna reference yoyote umeleta hapa...??
Nipo na wewe maana uliamua kuniacha sasa umerudi...
Kwa hiyo utashi nikuelezea hisia zako inje ya Bible?Akili na utashi Mungu alivyowaumbia watu ulitaka vikatumike wapi hasa.. ???
Yesu alitumia miguu na punda kusafiri, je! Waweza nionesha ni wapi Yesu alisema tutumie vyombo vya Usafiri kama gari...?
Biblia imeandika wapi wewe uvae jinsi au suruali ya kitambaa...Yesu si alivaa kanzu...
Unataka tuanze kujibizana kwa style hii sio...?!
Habari za kijiweni ni zipi..?? Mbona huzisemi hizo...Hazokuandikwa wewe unazibuni kutuhadaa?
Acha Habari za kijiweni tumia akili vizuri
Masilahi ya watu ni kueneza uongo kuwa aminisha uongo na hautaki ukweli ujulikane kwa kuwa maslahi ya makanisa yameguswa.Maslahi gani ndugu!! Hebu yaweke hapa...
Unafahamu lengo la kuwa na maandiko matakatifu....???Picha ya yesu ipo wapi? tuthibitishie kwa maandiko
Hayo yote mnayoyataka hayakuwa lengo la mleta mada...Soma mada uelewe....Huh huu uzi umezidi kutokota wakuu basi mwenye hayo maandiko kutoka kwenye biblia yanayoeleza kuhusu picha / sura halisi ya Yesu hayaweka hapa itakuwa njia pekee yakumaliza malumbano
Ukweli utatuweka pahala sahihi wakuu
Nani kazibuni..??? Hujui pia Biblia vitabu na nyaraka zake zimeandikwa na watu...???Hazokuandikwa wewe unazibuni kutuhadaa?
Acha Habari za kijiweni tumia akili vizuri
Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?Habari za kijiweni ni zipi..?? Mbona huzisemi hizo...
Unashangaa papa kuwa na familia ukweli ni kuwa yesu mwenyewe alipokuwa duniani alikuwa na familia.ukweli huu umekuwa ukifichwa miaka na miaka na vitabu viliandika juu ya hili viliondolewa kwenye orodha ya vitabu kwenye bibleNavojua sheria za kanisa padre..Askof...papa haruhusiw kuoa was kuwa na mtoto!
Ilikuaje huyu Papa akawa na familia na ikawa recognizable na kanisa?
Kwataarifa yako Biblia ni sehemu ndogo yenye muongozo wa maisha ya Mkristo.....Sehemu kubwa imekuwa handled over through Tradition na mapokeoKwa hiyo utashi nikuelezea hisia zako inje ya Bible?
Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?Habari za kijiweni ni zipi..?? Mbona huzisemi hizo...
Huwezi kufahamu kumi bila kuanzia moja ni lazima kufahamu yote ili mlengwa akipewa jibu awe na hakikaHayo yote mnayoyataka hayakuwa lengo la mleta mada...Soma mada uelewe....