Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

kutokana na swali lako inaonesha akil yako fupi! kama yesu alitembea juu ya maji ikaandikwa kwenye bible ss mbona hiyo ya sura kubaki kwenye kitambaa haikuandikwa ,maana jasho kuchora sura ya mtu kwenye kitambaa nayo ni ajabu!
Ngoja nikae sawa....

Enyi kizazi cha nyoka mnaotaka kila kitu kiandikwe kwenye biblia nani kawaloga ...

Hufahamu kuwa kama habari zote za Yesu zingeandikwa hakika ukimwengu huu usingetosha....!!!
 
Mkuu kuna watu wa maajabu na Bible haijaandika chochote kuhusu sura halisi ya yesu then watu eti ni yesu ukimwambia maandiko anambwela tu.
Akili na utashi Mungu alivyowaumbia watu ulitaka vikatumike wapi hasa.. ???

Yesu alitumia miguu na punda kusafiri, je! Waweza nionesha ni wapi Yesu alisema tutumie vyombo vya Usafiri kama gari...?
Biblia imeandika wapi wewe uvae jinsi au suruali ya kitambaa...Yesu si alivaa kanzu...

Unataka tuanze kujibizana kwa style hii sio...?!
 
Niliamua nikuache
Sio ukiamua uniache..Ndugu ulikosa hoja ya kutetea ulichokiandika ...

lakini nimeona wewe mtupu unahitaji msaada upo bure kabisa, leta maandiko acha Habari za vijiwe kahawa.
Maandiko yapi...?? Wewe kuna reference yoyote umeleta hapa...??

Nipo na wewe maana uliamua kuniacha sasa umerudi...
 
Ngoja nikae sawa....

Enyi kizazi cha nyoka mnaotaka kila kitu kiandikwe kwenye biblia nani kawaloga ...

Hufahamu kuwa kama habari zote za Yesu zingeandikwa hakika ukimwengu huu usingetosha....!!!
Hazokuandikwa wewe unazibuni kutuhadaa?
Acha Habari za kijiweni tumia akili vizuri
 
Sio ukiamua uniache..Ndugu ulikosa hoja ya kutetea ulichokiandika ...

Maandiko yapi...?? Wewe kuna reference yoyote umeleta hapa...??

Nipo na wewe maana uliamua kuniacha sasa umerudi...
Leta maandiko kuonyesha picha ya Yesu ilibaki kwenye kitambaa acha kukaririshwa maneno ya vijiweni soma bible.
Ndio maana una kuwa mwabudu sanamu soma Bible ujue ukweli
 
Akili na utashi Mungu alivyowaumbia watu ulitaka vikatumike wapi hasa.. ???

Yesu alitumia miguu na punda kusafiri, je! Waweza nionesha ni wapi Yesu alisema tutumie vyombo vya Usafiri kama gari...?
Biblia imeandika wapi wewe uvae jinsi au suruali ya kitambaa...Yesu si alivaa kanzu...

Unataka tuanze kujibizana kwa style hii sio...?!
Kwa hiyo utashi nikuelezea hisia zako inje ya Bible?
 
Huh huu uzi umezidi kutokota wakuu basi mwenye hayo maandiko kutoka kwenye biblia yanayoeleza kuhusu picha / sura halisi ya Yesu hayaweka hapa itakuwa njia pekee yakumaliza malumbano
Ukweli utatuweka pahala sahihi wakuu
 
Maslahi gani ndugu!! Hebu yaweke hapa...
Masilahi ya watu ni kueneza uongo kuwa aminisha uongo na hautaki ukweli ujulikane kwa kuwa maslahi ya makanisa yameguswa.
MASLAHI; Unatembeza sanamu kwa mbumbu unawahadaa inawaletea Baraka za Mungu unachangisha pesa hautotaka waujue ukweli maana maslahi yako yataguswa.
 
Picha ya yesu ipo wapi? tuthibitishie kwa maandiko
Unafahamu lengo la kuwa na maandiko matakatifu....???

Unajua kwanini yalikusanywa...?

Biblia hii unayoiona leo ili kamilia mwaka 300AD....Je kabla ya hapo hao wakristo walikuwa wanatumia kitu gani kama rejea yao ya Neno la Mungu...?

Ili tuende sawa naomba unijibu kwanza hayo maswali kwa usahihi...
 
Huh huu uzi umezidi kutokota wakuu basi mwenye hayo maandiko kutoka kwenye biblia yanayoeleza kuhusu picha / sura halisi ya Yesu hayaweka hapa itakuwa njia pekee yakumaliza malumbano
Ukweli utatuweka pahala sahihi wakuu
Hayo yote mnayoyataka hayakuwa lengo la mleta mada...Soma mada uelewe....
 
Habari za kijiweni ni zipi..?? Mbona huzisemi hizo...
Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?
Acha kukariri ati mambo yote isingeweza kuandikwa au wewe ndiye unaandika yote yaliyo sazwa umeyapata wapi?
Una Bible tofauti na hii tuliyo nayo?
 
Navojua sheria za kanisa padre..Askof...papa haruhusiw kuoa was kuwa na mtoto!
Ilikuaje huyu Papa akawa na familia na ikawa recognizable na kanisa?
Unashangaa papa kuwa na familia ukweli ni kuwa yesu mwenyewe alipokuwa duniani alikuwa na familia.ukweli huu umekuwa ukifichwa miaka na miaka na vitabu viliandika juu ya hili viliondolewa kwenye orodha ya vitabu kwenye bible
 
Kwa hiyo utashi nikuelezea hisia zako inje ya Bible?
Kwataarifa yako Biblia ni sehemu ndogo yenye muongozo wa maisha ya Mkristo.....Sehemu kubwa imekuwa handled over through Tradition na mapokeo
 
Habari za kijiweni ni zipi..?? Mbona huzisemi hizo...
Picha ya yesu kwenye kitambaa leta maandiko na kuabudu sanamu leta maandiko ya Bible ni wapi imeonyesha mambo hayo?
Acha kukariri ati mambo yote isingeweza kuandikwa au wewe ndiye unaandika yote yaliyo sazwa umeyapata wapi?
Una Bible tofauti na hii tuliyo nayo?
Hayo yote mnayoyataka hayakuwa lengo la mleta mada...Soma mada uelewe....
Huwezi kufahamu kumi bila kuanzia moja ni lazima kufahamu yote ili mlengwa akipewa jibu awe na hakika
 
Back
Top Bottom