Unapiga mihela tuu wala hugusi mshaharaUnunuzi na ugavi..
Wewe ndio utakuwa unafatilia manunuzi yote ya kiofisi, kutafuta ma profoma.. ku bargain na wauzaji nk
Ina ka upigaji hiyo sekta 😂
Aweeee Lenie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapiga mihela tuu wala hugusi mshaharaUnunuzi na ugavi..
Wewe ndio utakuwa unafatilia manunuzi yote ya kiofisi, kutafuta ma profoma.. ku bargain na wauzaji nk
Ina ka upigaji hiyo sekta 😂
Aweeee Lenie
Kvp xa xixterKijana angu tafadhali usisome hyo kozi japo kupata Kaz utapifa ila nakushauri tu nennda kasome account Kisha Soma CPA utakuja kunishukuru hapahap ila Kama unataoa majanga kasome hayo makitu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sema utaiba ela sana sio utatengeneza ela sana.Moja ya kozi ambazo ukipata sehemu nzuri utatengeneza hela sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jifunze kuandika kwa ufasaha.Kvp xa xixter
Ndo wasomi wetu Hawa mnaandika hivi,Kvp xa xixter
Hata ACC pia ni gombania goli siku hizii,nina jamaa zangu wengi tu wamemaliza o'level tu na wana matokeo ya kawaida sana hata credit hawana, wameunga unga kozi ya uhasibu kutokea cheti,wengine walianza na ATEC I mpaka sasa hivi ni CPA holders ingawa wamepitia changamoto za ugumu wa hiyo mitihani,Hapo kozi ambazo ni konki na hazina janja janja uniambie kozi kama medicine na Engineering ndiyo siyo za gombania goli.Procurement ni kama BA, HR yoyote anasoma…
Acc, Eng, ni tahasusi husika.. sio gombania goal hizo
Stiki na uzi… acheni kushauri sana watu mtawachanganyaa