Naomba kujua kuhusu kozi ya procurement and supply

Naomba kujua kuhusu kozi ya procurement and supply

Ununuzi na ugavi..

Wewe ndio utakuwa unafatilia manunuzi yote ya kiofisi, kutafuta ma profoma.. ku bargain na wauzaji nk

Ina ka upigaji hiyo sekta 😂

Aweeee Lenie
Unapiga mihela tuu wala hugusi mshahara
 
Procurement ni kama BA, HR yoyote anasoma…

Acc, Eng, ni tahasusi husika.. sio gombania goal hizo

Stiki na uzi… acheni kushauri sana watu mtawachanganyaa
Hata ACC pia ni gombania goli siku hizii,nina jamaa zangu wengi tu wamemaliza o'level tu na wana matokeo ya kawaida sana hata credit hawana, wameunga unga kozi ya uhasibu kutokea cheti,wengine walianza na ATEC I mpaka sasa hivi ni CPA holders ingawa wamepitia changamoto za ugumu wa hiyo mitihani,Hapo kozi ambazo ni konki na hazina janja janja uniambie kozi kama medicine na Engineering ndiyo siyo za gombania goli.
 
Back
Top Bottom