Jamaa huwa napenda ustaarabu wao sana.sema ndio hivyo wanaabudu misanam
...Buddha ni miongoni mwa wanyoofu wengi waliowahi kuishi chini ya jua, ambao ni Buddha,Yesu,Mohammed, Tao,Osho,Mwanamalundi etc just to mention the fewMm cmjui ngoja waje
....yeah sure.Katika dini yetu ya budha (budhisim) kuna mambo makuu mawili.
1. Samsara
Hii ni imani kuwa kuna maisha baada ya kifo, wazungu waita (life after death) kwamba unapofariki utazaliwa sehemu nyingine kama mwanadamu au kiumbe kingine kutegemeana na karma yako, soma karma chini ujue ni nini.
2. Karma
Hii inamaanisha ni malipo utayopata baada ya kufa. Mfano ulikua mtu mwema na mtoa msaada kwa wasio na kitu hata kama ulikua huna uwezo sana basi ukifa utazaliwa katika hali nzuri sana. Unaweza ukazaliwa ukawa tajiri sana na mtu mwenye mafanikio makubwa.
Hivyo basi samsara huwa dertimed na karma yako, kama ulikua tajiri na kuwadharau maskini hukawii kuzaliwa mbwa koko hapo baadae. Budhisim ni imani moja tamu sana
...jua tu kuwa hakuna kitu chini ya jua kinayokea kwa bahati mbaya...ie waokota makopo,kina Mengi na Bakheresa,wanachinjwa,wanakufa kitakatifu...ni matokeo ya juhudi zao kuutafuta unyoofu maisha yaliyopita mkuu.sasa mkuu itafaa nini kama utazaliwa bila kujitambua kuwa ndio wewe yule uliyekuwa ukitesa na mali zako au ukiua watu.. kwamba sasa haya ni malipo
Ko unataka kusema si tulikuwagepo zaman mkuu?????...jua tu kuwa hakuna kitu chini ya jua kinayokea kwa bahati mbaya...ie waokota makopo,kina Mengi na Bakheresa,wanachinjwa,wanakufa kitakatifu...ni matokeo ya juhudi zao kuutafuta unyoofu maisha yaliyopita mkuu.
...mengine uliyokaririshwa madrasa na Sunday school ni matango pori
yani sijaelewa chochote...jua tu kuwa hakuna kitu chini ya jua kinayokea kwa bahati mbaya...ie waokota makopo,kina Mengi na Bakheresa,wanachinjwa,wanakufa kitakatifu...ni matokeo ya juhudi zao kuutafuta unyoofu maisha yaliyopita mkuu.
...mengine uliyokaririshwa madrasa na Sunday school ni matango pori
Ahahajq but qfadhali hata dini hii aiseeKatika dini yetu ya budha (budhisim) kuna mambo makuu mawili.
1. Samsara
Hii ni imani kuwa kuna maisha baada ya kifo, wazungu waita (life after death) kwamba unapofariki utazaliwa sehemu nyingine kama mwanadamu au kiumbe kingine kutegemeana na karma yako, soma karma chini ujue ni nini.
2. Karma
Hii inamaanisha ni malipo utayopata baada ya kufa. Mfano ulikua mtu mwema na mtoa msaada kwa wasio na kitu hata kama ulikua huna uwezo sana basi ukifa utazaliwa katika hali nzuri sana. Unaweza ukazaliwa ukawa tajiri sana na mtu mwenye mafanikio makubwa.
Hivyo basi samsara huwa determined na karma yako, kama ulikua tajiri na kuwadharau maskini hukawii kuzaliwa mbwa koko hapo baadae. Budhisim ni imani moja tamu sana
Hapo jibu lake ni kuwa unatakiwa wakati huu ukiwa na uwezo jitahidi kutenda mema kwa wenzio na uishi maisha safi yasiyo ya anasasasa mkuu itafaa nini kama utazaliwa bila kujitambua kuwa ndio wewe yule uliyekuwa ukitesa na mali zako au ukiua watu.. kwamba sasa haya ni malipo
Ndugu yangu mm sikutaka kujua kuhusu dini ya Buddhism ila namtaka muanzilishi wake ambae ndo huyo Budha..Katika dini yetu ya budha (budhisim) kuna mambo makuu mawili.
1. Samsara
Hii ni imani kuwa kuna maisha baada ya kifo, wazungu waita (life after death) kwamba unapofariki utazaliwa sehemu nyingine kama mwanadamu au kiumbe kingine kutegemeana na karma yako, soma karma chini ujue ni nini.
2. Karma
Hii inamaanisha ni malipo utayopata baada ya kufa. Mfano ulikua mtu mwema na mtoa msaada kwa wasio na kitu hata kama ulikua huna uwezo sana basi ukifa utazaliwa katika hali nzuri sana. Unaweza ukazaliwa ukawa tajiri sana na mtu mwenye mafanikio makubwa.
Hivyo basi samsara huwa determined na karma yako, kama ulikua tajiri na kuwadharau maskini hukawii kuzaliwa mbwa koko hapo baadae. Budhisim ni imani moja tamu sana
Asante ila haabudiwi na wachina, watailand na wasri lanka wote bali wale wenye imani yuu ya dini ya Buddha, Buddhism..Salute Comrades...
Wakuu naomba kunfahamu huyu jamaa ni nani?
A-Z.
In short
Ndie anayeabudiwa na wachina,wathailand,wavetenam etc..
Alikua mtu wa watu sana, mwenye huruma hadi akaenda kuishi porini ili kujitesa mwenye (Alikua mtoto wa kitajiri)
Kama nimekosea mnisahihishe..
Nataka kujua zaidi juu ya mtu huyu..
Cc.
wick zitto junior Pascal Mayalla mshana jr
Nje ya hiyo misanam kuna ufahamu very deepJamaa huwa napenda ustaarabu wao sana.sema ndio hivyo wanaabudu misanam
Beautiful one... KudosKatika dini yetu ya budha (budhisim) kuna mambo makuu mawili.
1. Samsara
Hii ni imani kuwa kuna maisha baada ya kifo, wazungu waita (life after death) kwamba unapofariki utazaliwa sehemu nyingine kama mwanadamu au kiumbe kingine kutegemeana na karma yako, soma karma chini ujue ni nini.
2. Karma
Hii inamaanisha ni malipo utayopata baada ya kufa. Mfano ulikua mtu mwema na mtoa msaada kwa wasio na kitu hata kama ulikua huna uwezo sana basi ukifa utazaliwa katika hali nzuri sana. Unaweza ukazaliwa ukawa tajiri sana na mtu mwenye mafanikio makubwa.
Hivyo basi samsara huwa determined na karma yako, kama ulikua tajiri na kuwadharau maskini hukawii kuzaliwa mbwa koko hapo baadae. Budhisim ni imani moja tamu sana
Funguka desa lote mkuu...mpaka liishe kabisaAsante ila haabudiwi na wachina, watailand na wasri lanka wote bali wale wenye imani yuu ya dini ya Buddha, Buddhism..
Huyu alikuwa ni mtoto wa mfalme aliyekulia kwenye kasri lenye kila kitu hakujua mateso wala shida za ulimwengu mpaka siku alipotoka nje na kuona watu walikilia wengine wagonjwa wengine wenye shida mbalimbali...
Akaamua kuacha kila kitu cha kifalme na kuondoka kwenye kasri kwenda kutafuta ukweli juu ya mateso ya binadamu.. Kwahiyo akaenda mbali mpaka kwenye mti wa Bodhihaya na kuanza kufanya meditation mpaka alipokuwa enlightened
Baada ya hapo jina likabadilika kutoka prince Sirdhata Goutama na kuwa Sakyamuni Buddha...
Duu ni kubwa mno haitawezekana ingia tu mtandaoni utalipata loteFunguka desa lote mkuu...mpaka liishe kabisa