zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Buddha ni dini sahihi kwa kiasi chake maana haina mafundisho potofu kwa hapa duniani mfano inataka uwe na mambo 8 tu ili uondoke salama duniani kwa mfanoNilitarajia tuwe na mbwa koko wengi sana tangubdunia ilipoanza, kwasababu wengi wana tabia mbovu na watu wanakufa kila siku, tena wengine kw matendo wangekua ata mende bt still watu ndo wanaongezeka instead ov wanyama, datz wrong faith... Au wataka nambia wema ni wengi kuliko wabaya duniani? Au pia hiyo ni kwa mabudha tu? Kama ni kwa mabudha tu, basi imani mbayo haina mwongozo kwa binadamu wote hio ni imani dhaifu... Haipaswi kufwatwa
Matamshi mazuri yaani kuepuka matusi na uongo
Kujinyima yaani usifanye matumizi ya anasa
Kuzishinda tamaa za mwili
Kuwa na mawazo chanya au mitazamo mizuri
Kuishi na watu vizuri
Utende mema pekee
Inataka utenge muda wa kumeditate maisha yako n.k je mpaka hapo huoni ni imani nzuri tu kuendana na mafundisho hayo ambayo naamini hata uislam na ukristo tunafundishwa
Na imani hii sio kwa wabudha tu wanaamini dunia nzima kma hufuati hyo misingi basi utaishi maisha ya mzunguko ya mateso mpaka unyooke na ubadilike kma utapata fursa ya kurudi duniani tena otherwise utazaliwa punda maisha yako yote utandikwe viboko mpaka ukome sio lazima uwe mbwa koko unaweza hata ukazaliwa mti wenye mwiba au mti mbaya mbaya kuendana na matendo yako