Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

UMEULIZA SWALI LA MSINGI SANA AMBALO HAWATAKUJIBU. MFANO MIMI SIFAHAMU HAPO KABLA NILIISHI MAISHA GANI NA YAME AFFECT SASA KWA NAMNA GANI. AT least mtu angekuwa anajua sasa amezaliwa mbwa au samaki sababu alitenda maovu.otherwise ni upuuzi tu uso na maana.
ni kujijaza imani tu..
ambazo hazipo
cha msingi unachukua kinachokusaidia unaamini.. lakini kwa hili mkuu ntakataa
 
Appreciated mkuu
Nitumie pm..
Ila it seems like your device haitoi notifincio kwa wakat hua unachelewa kureply

Niliziona lakini i was not in a position to answer!
File lina MB 35 haliwezi kutumwa hapa!
Tuma E-Mail yako.
 
Nilitarajia tuwe na mbwa koko wengi sana tangubdunia ilipoanza, kwasababu wengi wana tabia mbovu na watu wanakufa kila siku, tena wengine kw matendo wangekua ata mende bt still watu ndo wanaongezeka instead ov wanyama, datz wrong faith... Au wataka nambia wema ni wengi kuliko wabaya duniani? Au pia hiyo ni kwa mabudha tu? Kama ni kwa mabudha tu, basi imani mbayo haina mwongozo kwa binadamu wote hio ni imani dhaifu... Haipaswi kufwatwa
Imani sahihi ni zipi za kufuatwa!? Usi hukumu bila kufanya Uchunguzi yakinifu
 
Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandama

So ili uivunje chain fuata zile kanuni 8 za maisha basi utakuwa huru kutoka maisha ya mzunguko
Ha ha ha daah mkuu hv napigika so may be nilikuwa mzee wa ndole huko kitambo
 
ni kujijaza imani tu..
ambazo hazipo
cha msingi unachukua kinachokusaidia unaamini.. lakini kwa hili mkuu ntakataa
Imani ni mambo ya kufikirika hata hizi Dini tunazo ziamini ni za kufikirika! Hivyo hata Bhudha ni Imani km Imani nyingine, tofauti yetu ni zile Taratibu za kuabudu na uwasilishwaji wa maandiko!
 
Imani ni mambo ya kufikirika hata hizi Dini tunazo ziamini ni za kufikirika! Hivyo hata Bhudha ni Imani km Imani nyingine, tofauti yetu ni zile Taratibu za kuabudu na uwasilishwaji wa maandiko!
Nimekuelewa sana.
 
Namuona Yesu na ukristo ukisimama bila chembe ya shaka.
 
Asante ila haabudiwi na wachina, watailand na wasri lanka wote bali wale wenye imani yuu ya dini ya Buddha, Buddhism..
Huyu alikuwa ni mtoto wa mfalme aliyekulia kwenye kasri lenye kila kitu hakujua mateso wala shida za ulimwengu mpaka siku alipotoka nje na kuona watu walikilia wengine wagonjwa wengine wenye shida mbalimbali...
Akaamua kuacha kila kitu cha kifalme na kuondoka kwenye kasri kwenda kutafuta ukweli juu ya mateso ya binadamu.. Kwahiyo akaenda mbali mpaka kwenye mti wa Bodhihaya na kuanza kufanya meditation mpaka alipokuwa enlightened
Baada ya hapo jina likabadilika kutoka prince Sirdhata Goutama na kuwa Sakyamuni Buddha...
 
Katika dini yetu ya budha (budhisim) kuna mambo makuu mawili.


1. Samsara
Hii ni imani kuwa kuna maisha baada ya kifo, wazungu waita (life after death) kwamba unapofariki utazaliwa sehemu nyingine kama mwanadamu au kiumbe kingine kutegemeana na karma yako, soma karma chini ujue ni nini.


2. Karma
Hii inamaanisha ni malipo utayopata baada ya kufa. Mfano ulikua mtu mwema na mtoa msaada kwa wasio na kitu hata kama ulikua huna uwezo sana basi ukifa utazaliwa katika hali nzuri sana. Unaweza ukazaliwa ukawa tajiri sana na mtu mwenye mafanikio makubwa.

Hivyo basi samsara huwa determined na karma yako, kama ulikua tajiri na kuwadharau maskini hukawii kuzaliwa mbwa koko hapo baadae. Budhisim ni imani moja tamu sana
Mkuu kufa na kuzaliwa mwisho mara ngapi ?

amsr.
 
Back
Top Bottom