Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

🤣🤣🤣🤣 Wewe zigo unalo JF yote hakunaa!! Ni lazima Sir Midabwada achanganyiwe fa mchezo nini?!!!
Mfyuuu! Kwa zigo gani hasa hebu acha vichekesho uduguu!

Huyo dawa apate kibinti kama wewe na mhipsi huo akikupakata hadi anaufeel hadi kidogoni!
 
Mfyuuu! Kwa zigo gani hasa hebu acha vichekesho uduguu!

Huyo dawa apate kibinti kama wewe na mhipsi huo akikupakata hadi anaufeel hadi kidogoni!
Akhu!! Mi zigo nilitoe wapi??!
Wewe ndo mwenye hipusi lako na msambwandwa wa kwendea!!
Kwani sir midabwada yeye mjinga mpk akubali kukutafutia mill 100?!!🤣🤣🤣
Kuna vitu adimu kaviona
 
Pole sana .

Wengine tuna followers elfu moja na kitu.
 
Tatizo huna content .

Mimi ndio kwanza hii ID naiona Leo.
 
We jamaa ni mashine yenye engine nyuma unalazimisha kutafuta bwana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…