Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Biashara haitoki wengi wamekusanya hakuna wanunuzi viwanda vingi vimepunguza uzalishaji.Tani inategemea na ukusanyaji bei yako na mtaji wako kama ni nzuri kwa wiki hadi tani 10 au zaidi unapata.Mimi nampango wa kusaga na kuhifadhi tani nyingi hata 200 Corona ikiisha tapiga hela.Natafiti soko la Kenya au China mipaka ikifunguliwaKwaiyo tani mmoja kiwandani ni 450k.
( apo bado usafiri na wapikiaji)
Hii tani mmoja ukusanyaji wake si sio mchezo sasa. Waweza chukua siku ngapi.
Kwaiyo mtaji wake kwa hesabu zako ni laki 100k_200k. Si ndivyo mkuu.