1. Taa ya rangi nyekundu ya warning ya betri inawaka na kuzima(kublink).
2. Alternator inashindwa kufua umeme.
3. Kuanza kutumika kwa umeme kutoka kwenye betri,mwisho wa siku gari inaweza kuzima kama betri likiisha chaji
all in all ,hizo ndo dalili zilizonikuta baada ya kupanda tuta nikiwa kwenye mwendo mkubwa (125km/h)