Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
wewe nawe inaelekea mzee wa chocho/chimbo, bigup
nakutafta pm soonWanatembeza mkuu...yaan nasombaga tu ths term nimerud na pair za kutosha! vzr mnoo
UONGO !!!Nunua tishirt belo za mtumba za vijana then pitisha mitaa ya chuo utajiri unauona huo hapo kulaza laki 2 ni mishe ya kawaida
Ukweli ni upi sasa?UONGO !!!
nimejarb kule umefunga mama,Wanatembeza mkuu...yaan nasombaga tu ths term nimerud na pair za kutosha! vzr mnoo
Sorry mkuu. Kwa maeneo hayo vipi biashara ya duka-genge la kuuza bidhas kama mchele,unga,soda,maji nk?Mbagala kuchere mkuu anza mchakato, we kaza meno anza kazi
nimejarb kule umefunga mama,
wanauzaje baro? au ni kwa ku point? moka za ofcn nazo zipo?
nahitaj raba dizain hiiView attachment 1185435,
sio lazima km hizi kiubwa iwe leather,
ahaaa hapo nimekupatamie sisemei mabalo...nasemea hizi za kupoint best ...
Hivi hizi nguo za watoto ukitaka kupoint nzuri za grade one ilala boma naweza kupata? VP belo bei ganiBelo ulikua unapata km sh ngap?
Belo ulikua unapata km sh ngap?
Hivi hizi nguo za watoto ukitaka kupoint nzuri za grade one ilala boma naweza kupata? VP belo bei gani
Sister, ukienda Mwanza nenda Mlango mmoja aka Lango lango, pia kuna raba humo, acha kabisa, nadhan na wao wanafata Uganda kama Kahama.Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..
Sister, ukienda Mwanza nenda Mlango mmoja aka Lango lango, pia kuna raba humo, acha kabisa, nadhan na wao wanafata Uganda kama Kahama.
Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..