Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

Wanatembeza mkuu...yaan nasombaga tu ths term nimerud na pair za kutosha! vzr mnoo
nimejarb kule umefunga mama,
wanauzaje baro? au ni kwa ku point? moka za ofcn nazo zipo?
nahitaj raba dizain hii
20190818_123929 - Copy.jpg
,
sio lazima km hizi kiubwa iwe leather,
 
Kiborondo
Mtaji wa 2m ni kidogo sana kwa aina ya Biashara unayotaka kufanya
Hyo 2m ukinunua Blouse za 5000 ilii uuze 7000/10000-15000
Unapata just 400 ambazo ni chache sana hata nusu ya upande wa Frame hazijai
Location: Mbagala sio Prime Location kwa aina hyo ya quality unayotaka.
Best location kwa Grade 1 ni Mwenge/ Makumbusho/ Kinondoni
Mbagala Market segment ni Low Class na Middle class , ukisema umuuzie Blouse kwa 10/15,000 utaishia kupata masonyo au zijaribiwe bila kununuliwa Mpaka upate Mtumba wa Mbagala kwa kujaa jasho na Make up za Mbagala Rangi 3.
Huo mtaji wa 2m usichukue hata Frame , labda upange kwenye ukuta wa Mtu na kodi isizidi 40,000/= TZS kwa Mwezi
Kama umependa ushauri wangu sema ambapo hujaelewa na uulize maswali zaidi
 
Nguo za kike ni pasua kichwa na zinahitaji mtaji mkubwa kidogo maana wana options nyingi sana
Sketi ( kitambaa, cardet, Jeans)
Suruali
Bukta
Magauni
Blouse
Tshirts
Chiffons
Maternity dress
Vikoti
So aina zote hizo plus size zote uwe nazo
Hyo 2m yaweza ishia kwenye moja
Au ukilazimisha uwe nazo zote kwa hela hyo utakuwa na nguo labda 15 kwa kila section, so Mtu akija anaweza jua ni kama kabati la nguo la mkeo umekuja kulitundika barabarani
 
Ili usije ukalia ww kuwa unawahi karume asubhi sana unaenda kuchagua (sorting)raba Kali za ela yako unazpiga maji then unazitundika

Lengo ni kujifunza biashara taratibu huku ukizoeana na watu

Vinginevyo mtaji utakata mapema sana kwa kuwa utaanza na kukata mabelo mwenywe trust me
 
Hivi hizi nguo za watoto ukitaka kupoint nzuri za grade one ilala boma naweza kupata? VP belo bei gani

ilala nenda saa 4 kamili ndo wanaanza kukata..bel9 zuri.linafika.laki 8...kuna ya 500k.600k 700k 800k grade one na nchi tofauti...naikunbuka brand ya mpira ilikua best...nishasahau thou brand nyingin
 
Ina maana hamna muuza mitumba humu jf? Au ndio mnajikaushaa!? Kazi ni kazi
 
Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..
Sister, ukienda Mwanza nenda Mlango mmoja aka Lango lango, pia kuna raba humo, acha kabisa, nadhan na wao wanafata Uganda kama Kahama.
 
Sister, ukienda Mwanza nenda Mlango mmoja aka Lango lango, pia kuna raba humo, acha kabisa, nadhan na wao wanafata Uganda kama Kahama.


yaan nna plan.nijitaftie mapumziko niende Mwanza...ntafika ..!napenda vitoto vya kiume vikivaa raba na shots...
 
Mkuu nakubari kahama kuna vitu vzr pia umewahi kufika makambako? Nako kuna viatu vizuri mno grade A bei ni nusu ya ile ya dar
Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..
 
Back
Top Bottom