Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Habari wana jf.
Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish.
Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto tumekulia mjini.
Kwa atakae faham ani ainishie tafadhari, najua humu majibu ni uhakika..
Majibu haya yanahtajika mahari, kuna mdogo wangu yupo seminary wameombwa kila mtu aelezee kabila lake.
Kuna baadhi nazifaham kama;- pumbulu na ile ya kuzaa mapacha yale matambiko.
Naomba kujazia nyamanyama wadau.
Natangulza shukran!