Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Mkuu una jini na huenda linapiga hata uchumi wako, Amini nikwambiayo Mkuu...

Kama wewe ni mbishi kuamini, naomba nikulazimishe uamini...

Kuna wakati utafika utaona bora kufa kuliko kuishi, na hapo ndipo tutaskia umejinyonga. Tafuta watu wanaotoa majini kama ni Wachungaji ama Waganga fanya hivyo...
 
Usipoangalia kwa tabia hizo utakuja kuuwa na kuishia jela au na wewe kijiua
Unahitaji msaada mkubwa wa bingwa wa akili
 
Wewe ni kiumbe uliyetoroka sayari nyingine humu unaishi ugenini
 
Wewe ni wewe na hakuna Kama wewe mwamba Kama mwamba ila ningejua umri wako ningepata cha kuongezea mwambaa[emoji848][emoji3525][emoji3525]
 
Kundi la WANAMA pole sana Mkuu. 😂😂
Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu;

- Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari)...
 
Wewe ni Psychic Mkuu.
Nenda kwa wataalamu wa akili wakuweke sawa..
 
Usipoangalia kwa tabia hizo utakuja kuuwa na kuishia jela au na wewe kijiua
Unahitaji msaada mkubwa wa bingwa wa akili
Sasa tatizo Mimi sipendi kuwa ivo najikuta tu nabadilika kulingana na sehemu na sehemu na siwezi kuzuia
 
Mbona haueleweki hupendi party na sehemu zenye watu wengi alafu unapenda fujo fujo sasa hizo fujo unafanya ukiwa pekeyako?

Nahisi shida yako umeruka stage yani mambo ambayo ulitakiwa uyafanye ukiwa under 18 wewe unayafanya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu zenye watu wengi means kwenye mashuhuli(sherehe) but sehemu yenye vurugu vurugu ata kukiwa na wengi syo tatizo
 
Back
Top Bottom